Klabu ya Polisi waingia mkataba wa milioni 50 na kanisa kuiombea timu

Nadhani mtoa mada alivyoandika ameleta sintofahamu
 
Nazani wao wanataka ufadhili kwahiyo kama unaona ni udini ungeingia hata wewe ukatoa dau lako ili waachane na hilo kanisa.

Sent using Jamii Forums mobile app
Tumia akili. Polisi ni taasisi ya umma inaingiaje mkataba na kanisa ambao ndani yake una kipengele cha mambo ya ibada? Au kwenye ile timu hakuna wachezaji wa imani nyingine? Vipi wachezaji hao wahusishwe kwenye ibada ya kanisa? Ukiuangalia huu mkataba kwa kigezo cha kiuchumi hutaelewa chochote. Toka nje ya boksi utaelewa.
 
Wewe hiko kipengele kwenye mkataba unahakika kipo ??

Tatizo lipo Kwa mtoa mada alivyoandika ni tofauti na habari yenyewe
 
Sasa wewe unayetumia akili umewapa polisi shiling ngapi? Kwahiyo unaona bora wakae na kucheza bila maji ndiyo usawa dini?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Malisa ndio huyu huyu wa gb malisa au

Sent from my Infinix X650 using JamiiForums mobile app
 
Ifike hatua, watu wachukuliwe hatua haiwezekani mtu anapotosha taarifa kwa makusudi

Mtoa mada taarifa uliyoileta si ya kweli
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…