Klabu ya Polisi waingia mkataba wa milioni 50 na kanisa kuiombea timu

Klabu ya Polisi waingia mkataba wa milioni 50 na kanisa kuiombea timu

View attachment 2377563
Uongozi wa Klabu ya Polisi Tanzania umeingia mkataba wa mwaka mmoja wenye thamani ya Sh 50 Milioni na Kanisa la Kingdom Embassy (HPCC) la jijini Dar es Salaam ambao ni maalumu kwa ajili ya kupatiwa maji ya kunywa, fedha na maombi timu inapocheza popote kuhakikisha kwamba wanafanya vizuri zaidi.

Nabii Clear Malisa kutoka Kanisa hilo alisema; “Tutakuwa pia tukijitahidi kuiombea timu yetu kwani maombi ni muhimu ili iweze kufanya vizuri kwenye Ligi.”
🤣🤣

 
😂 🤣

Unapata picha tuna askari wa namna gani, tuna, akili zao zipoje
 
😂 🤣

Unapata picha tuna askari wa namna gani, tuna, akili zao zipoje
Yaani hadi nimeshindwa kuelewa, sasa hiyo 50M nani anamlipa mwenzie? Polisi walilipa kanisa kwa kupatiwa huduma ya maombezi ai? Vipi kwa wachezaji wapagani na wasioamini kanisani?
 
Back
Top Bottom