Klabu ya Simba ikipita kwenye hili kundi nipigwe ban

Huwa Kila siku nasema hii timu ya simba imejaa mabumbumbu ndio maana Mimi niliamua kuihama mwaka huu baada ya kuangukia mashindano ya kina mama wanayasifia na wanasahau walikua wanasema ni kombe la looser nasema kama simba ikapita kwenye hili kundi nipigwe ban
Kama uliihama Simba ni vipi uendelee kuifuatilia na kusikia uchungu?
 
Huwa Kila siku nasema hii timu ya simba imejaa mabumbumbu ndio maana Mimi niliamua kuihama mwaka huu baada ya kuangukia mashindano ya kina mama wanayasifia na wanasahau walikua wanasema ni kombe la looser nasema kama simba ikapita kwenye hili kundi nipigwe ban
Ufuatiliwe kwa karibu, hizi ni dalili za kujitoa uhai
 
UKISHABIKIA SANA SIMBA NA YANGA KICHWANI ZINAPUNGUA NA KUHAMA KABISA.

"Hakuna umasikini Mbaya Kama umasikini wa Fikra"
JK Nyerere.

Ili nchi iendelee inahitaji.
Ardhi
Watu.
Siasa safi.
Uongozi Bora.
 
KAMA WATU WENYEWE NDIO HAWA LONG LIFE JAMII FIRUM.
HOME OF GREAT THINKERS.
Wewe umefikia wapi kwenye kuendeleza nchi kama hapana basi wewe Mbumbumbu tu
 
Sijui umri wako ila naamini kupitia andiko hili kuwa hujui maana ya mashindano.

Simba wameshakuwa na uzoefu wa mashindano haya, ni mjinga pekee atakayekuja na fikra za kuwa Simba SC ni lazima asiende robo fainali ya kombe la shirikisho.

Ushabiki huondoa fact based opinions na kuhamasisha fikra za kishabiki.

Ushindani wa Simba kimataifa ni mkubwa sana, si timu nyepesi kwa kila mpinzani.

Tuache mipasho isiyo na uhalisia, tutazame ushindani kila jambo litajidhihirisha.

Hata kufuzu tu makundi ya CAFCC wengi wenye pessimistic opinions walidai kuwa Simba SC asingeweza kuitoa Al Ahly Tripoli lakini stori ikaja kubadilika kabisa.
USHAURI: UKIPENDA KLABU YAKO NI VIZURI KUFURAHIA AU KUUMIA NAYO KULIKO KUJISUMBUA NA KLABU USIZOSHABIKIA.
 
nimeshasema simba haipiti kwenye Hilo kundi ukiniuliza kwanini jibu ni kwamba simba timu lenu bovu
 
Kenge wewe gazeti refu halafu ushuzi mtupu nimeshasema simba haipiti kwenye Hilo kundi ukiniuliza kwanini jibu ni kwamba simba ni mambumbumbu timu lenu bovu
Sasa kosa langu lipi mpaka unanitukana? Sababu ya mpira?

Si sawa! Tuheshimiane hata kama tuko nyuma ya keyboard.
Kuna watu mnakuwa na jazba zisizo na Faida.

Sisi humu tushakuwa familia moja, Haina haja ya haya yote.
 
Huwa kila siku nasema hii timu ya simba imejaa mabumbumbu ndio maana mimi niliamua kuihama mwaka huu baada ya kuangukia mashindano ya kina mama wanayasifia na wanasahau walikua wanasema ni kombe la looser nasema kama simba ikapita kwenye hili kundi nipigwe ban.
Hawatoboi hao watapigwa kama ngoma Losers Cup.
 
Back
Top Bottom