Shooter Again
JF-Expert Member
- Sep 6, 2022
- 5,603
- 9,263
Huwa kila siku nasema hii timu ya Simba wanayasifia na wanasahau walikua wanasema ni kombe la looser nasema kama Simba ikapita kwenye hili kundi nipigwe ban.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kama uliihama Simba ni vipi uendelee kuifuatilia na kusikia uchungu?Huwa Kila siku nasema hii timu ya simba imejaa mabumbumbu ndio maana Mimi niliamua kuihama mwaka huu baada ya kuangukia mashindano ya kina mama wanayasifia na wanasahau walikua wanasema ni kombe la looser nasema kama simba ikapita kwenye hili kundi nipigwe ban
WakumbushweTutawakumbusha mods muda ukifika.
Don't waste time yeye ndio ana changamoto Simba lini ilishindwa kwenye haya mashindano ya CAF May be from Quarter finalTutawakumbusha mods muda ukifika.
Unamatatizo ya kisakolojia mbumbumbu Al masry alikutoa hatua gani🤣🤣🤣🤣🤣🤣Don't waste time yeye ndio ana changamoto Simba lini ilishindwa kwenye haya mashindano ya CAF May be from Quarter final
MbumbumbuKwanini muijadili SIMBA wakati si club mnayoipenda? Kafiriweni mbali huko achana na Mnyama
Ufuatiliwe kwa karibu, hizi ni dalili za kujitoa uhaiHuwa Kila siku nasema hii timu ya simba imejaa mabumbumbu ndio maana Mimi niliamua kuihama mwaka huu baada ya kuangukia mashindano ya kina mama wanayasifia na wanasahau walikua wanasema ni kombe la looser nasema kama simba ikapita kwenye hili kundi nipigwe ban
Mbumbumbu naona mnajibu Kwa uchungu sanaaaa🤣🤣🤣🤣🤣🤣Ufuatiliwe kwa karibu, hizi ni dalili za kujitoa uhai
Wosia umeuandaa lakini? Mambo ya kujinyonga halafu unaacha ugomvi hatuyatakiMbumbumbu naona mnajibu Kwa uchungu sanaaaa🤣🤣🤣🤣🤣🤣
Wewe umefikia wapi kwenye kuendeleza nchi kama hapana basi wewe Mbumbumbu tuUKISHABIKIA SANA SIMBA NA YANGA KICHWANI ZINAPUNGUA NA KUHAMA KABISA.
"Hakuna umasikini Mbaya Kama umasikini wa Fikra"
JK Nyerere.
Ili nchi iendelee inahitaji.
Ardhi
Watu.
Siasa safi.
Uongozi Bora.
KAMA WATU WENYEWE NDIO HAWA LONG LIFE JAMII FIRUM.
HOME OF GREAT THINKERS.
Unajielezea sana mbumbumbu 🤣🤣🤣🤣🤣🤣Wosia umeuandaa lakini? Mambo ya kujinyonga halafu unaacha ugomvi hatuyataki
nimeshasema simba haipiti kwenye Hilo kundi ukiniuliza kwanini jibu ni kwamba simba timu lenu bovuSijui umri wako ila naamini kupitia andiko hili kuwa hujui maana ya mashindano.
Simba wameshakuwa na uzoefu wa mashindano haya, ni mjinga pekee atakayekuja na fikra za kuwa Simba SC ni lazima asiende robo fainali ya kombe la shirikisho.
Ushabiki huondoa fact based opinions na kuhamasisha fikra za kishabiki.
Ushindani wa Simba kimataifa ni mkubwa sana, si timu nyepesi kwa kila mpinzani.
Tuache mipasho isiyo na uhalisia, tutazame ushindani kila jambo litajidhihirisha.
Hata kufuzu tu makundi ya CAFCC wengi wenye pessimistic opinions walidai kuwa Simba SC asingeweza kuitoa Al Ahly Tripoli lakini stori ikaja kubadilika kabisa.
USHAURI: UKIPENDA KLABU YAKO NI VIZURI KUFURAHIA AU KUUMIA NAYO KULIKO KUJISUMBUA NA KLABU USIZOSHABIKIA.
Sasa kosa langu lipi mpaka unanitukana? Sababu ya mpira?Kenge wewe gazeti refu halafu ushuzi mtupu nimeshasema simba haipiti kwenye Hilo kundi ukiniuliza kwanini jibu ni kwamba simba ni mambumbumbu timu lenu bovu
Hawatoboi hao watapigwa kama ngoma Losers Cup.Huwa kila siku nasema hii timu ya simba imejaa mabumbumbu ndio maana mimi niliamua kuihama mwaka huu baada ya kuangukia mashindano ya kina mama wanayasifia na wanasahau walikua wanasema ni kombe la looser nasema kama simba ikapita kwenye hili kundi nipigwe ban.