Klabu ya Simba imefungiwa na CAF kucheza bila mashabiki na faini zaidi ya TSh. Milioni 100

wataathirika ktk mchezo wa robo fainal. Niseme neno la mwisho kuwa simba safari yake imeishia robo fainal over.
Safari ipi? Maana toka mseme sfr yetu imeisha chakushangaza ndo tumefuzu huku tuna mchezo mmoja...
Kama mashabiki wanacheza basi sawa...
 
Reactions: BRN
Mashabiki Bora wa kuvunja viti na kuchoma viwanja vya watu
Kaka uto hayo mambo huyawezi huwezi kwanza kuelewa...na bado tutachukua tuzo nyingine nyie pambaneni huko clabu bingwa bia
 
Tunaomba kibali tunafunga screem shamba la bibi
 
Soma vizuri ni mechi Moja, ya pili tumepewa msamaha Kwa sababu hii ndio mara ya kwanza kutenda kosa.
 
Hapa watakataa watasema wale ni wachezaji wa yanga ndo walichoma uwanja kwa madiba

Kiujumla rage hakukosea😂😂
 
Nimeona chapisho la Simba,walifungiwa michezo miwili ila wamesamehewa mmoja,hivo waliolipa viingilizo wakae na tickets kwa mechi inayokuja baada ya hii
Ee ni kweli..nasikia wamepeleka malalamiko kuwa wao sio walioanzisha vurugu ni wale waarabu na mashabiki walirudisha kama kujihami..
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…