magnifico
JF-Expert Member
- Jan 14, 2013
- 11,075
- 24,634
Bora mngefungiwa makundi. Robo fainali mtawahitaji sana mashabiki asee.Kikubwa tumeshafuzu....ila CAF bwanaa wamesubira weeee hawakutaka kutupa stress..
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Bora mngefungiwa makundi. Robo fainali mtawahitaji sana mashabiki asee.Kikubwa tumeshafuzu....ila CAF bwanaa wamesubira weeee hawakutaka kutupa stress..
Mashabiki wenye mawazo kama haya ni mtaji wa viongozi wabovu.Hapa ni lazima niusifu uwekrzaji wa yanga nje na ndani ya uwanja.
Yanga ina watu wana roho mbaya huwezi kuamini hawakupenda na hawakuwa na furaha mashabiki wa Simba kupewa tuzo ya mashabiki bora.
Walifanikiwa kupandikiza watu walioonekana kama mashabiki wa Simba na wakang'oa viti ili kuichafua brand ya Simba.
Kuna mashabiki wanavaa jezi za Simba lakini ukweli wanaipenda yanga na kutwa kuisema vibaya Simba.
Simba tujifunze kuzuia madhara ya watu kama hawa
Tumefungiwa mechi 1Bora mngefungiwa makundi. Robo fainali mtawahitaji sana mashabiki asee.
Ni jambo zuri.Tumefungiwa mechi 1
Siyo vitumbua tu na kalmat piaSasa kwa maana hiyo wa utopolo si ndo vitumbua kabisa
Historia ya Yanga unaijua vzr kifupi Yanga ni timu ya Malofa historicallybiki
Mashabiki wengi wa makolo ni mashabiki maandazi na wengi wamepatikana kipindi kile manara alivyokua msemaji pale aliwashawishi mashabiki wengi sana hasa wadada kuna jamaa yangu mmoja ofisini miaka iliyopita nilikuwa simuonagi kujishughulisha na mipira alikua hajui chochote lakini ghafla nikaona yupo kwa makolo tena mkibishana kuhusu mpira anabisha haswa. Siku hizi kila timu lao likicheza lazima aposti mtandaoni huwa nacheka. Mi nimefurah kama makolo wamefungiwa ili hawa mashabiki wao wa kuanzia juzi juzi wafunge midomo yao
Na nyinyi muachane na tabia yenu mbaya ya kung'oa viti vya uwanja wa Taifa. Hii ni mara ya pili mnafanya uharibifu.Kikubwa tumeshafuzu....ila CAF bwanaa wamesubira weeee hawakutaka kutupa stress..
Mashahidi wa CAF walikua ni YangaWakuu
CAF yaifanyia Ubaya Ubwela Simba SC
==
Timu ya Simba Sports Club imeamriwa kucheza mchezo mmoja bila mashabiki na Shirikisho la Soka Afrika (CAF) kufuatia vurugu zilizotokea Uwanja wa Benjamin Mkapa wakati wa mechi dhidi ya CS Sfaxien.
Adhabu hiyo itaathiri mchezo wao wa nyumbani dhidi ya CS Constantine, utakaochezwa Jumapili, Januari 19.
Soma: CAF yazuia Mashabiki Sfaxien Kwenye Mechi dhidi ya Simba
Simba SC pia imetoza faini ya dollars Elfu 40 (TSh. Milioni 100,037,200) na imetakiwa zilipwe ndani ya siku 60.
Taarifa rasmi ya Klabu ya Simba
Ili kumkomoa mwarabu apate maumivu yanayostahiliHuna akili kwaio mwarabu akivunja kiti nawew kolo ukamua kuvunja ili kumkomoa karia au
Umepiga haitarudishwa soma tangazo la timu Yako.Caf mmejua kutuwezaa aisee
Kazii tunayooo simbaaa
Swali walishaanza kata tkt??
Vipi WALIOKATA TKT tunapataje pesa zetuuu
Hata Luc Eymael nae alikua sahihi pia l.Rage alkua sahihi
Thubutuu, watu waache kwenda kuuza sabuni na mo cola waje uwanjani 😅Ila Jumapili ingekua funga kazi kwa mkapa lile nyomi lake aisee..