Klabu ya Simba imefungiwa na CAF kucheza bila mashabiki na faini zaidi ya TSh. Milioni 100

Klabu ya Simba imefungiwa na CAF kucheza bila mashabiki na faini zaidi ya TSh. Milioni 100

Hii inaitwa mvi mavickoo
Mkojooo mkojockaaaaa
Wale waliosoma Russia mnaelewa
 
Jambo la maana ni kwamba tayari simba imeshafuzu.
Hivyo Simba ikishinda mchezo wa Jumapili, itaongoza kundi lake na kufanya mchezo wa kwanza wa robo fainali utachezwa ugenini. (Huko hakuna athari yoyote kwa mashabiki wake)

CAF wamefanikiwa kuharibu sherehe tu ya tarehe 19 January
Wanahesabu mechi za nyumbani sio away
 
Hii habari siiamini mpaka nitakapoona taarifa rasmi. Mimi ni mtu ambaye nikisoma kitu chenye ukakasi mtandaoni sikiamini mpaka nitafute vyanzo vitatu vya uhakika vya kusapoti taarifa hiyo. Mpaka sasa sijaona chanzo chochote kilichoripoti hili.
Mkuu ni habari ya uongo
 
Jambo la maana ni kwamba tayari simba imeshafuzu.
Hivyo Simba ikishinda mchezo wa Jumapili, itaongoza kundi lake na kufanya mchezo wa kwanza wa robo fainali utachezwa ugenini. (Huko hakuna athari yoyote kwa mashabiki wake)

CAF wamefanikiwa kuharibu sherehe tu ya tarehe 19 January
Mmeharibu wenyewe kwa kitendo chenu cha kug'oa viti..!!

Hapa nasubiria tu kuna mbumbumbu mmoja atakuja na post kwamba CAT wametumwa na Yanga..!!
 
Ww mchone ni lishabiki lenu bwabwa lile...
Nimelitolea tuu mfano....
Alieanza kutoa viti ni nani?? Ww ulikuwepo uwanjani? Ripoti ya polisi ilisemaje..
na ndo tushawabamiza na robo tumeenda...
Mtani pole..!! maana si kwa povu hili la foma gold..!!
 
Nimeona chapisho la Simba,walifungiwa michezo miwili ila wamesamehewa mmoja,hivo waliolipa viingilizo wakae na tickets kwa mechi inayokuja baada ya hii
Hayo maandishi yapo kisiasa CAF haiwezi kusema tumekufungia mechi mbili hapo hapo tumekusehe moja ni either iwe mbili au moja bila kupindisha maneno
 
Hapa ni lazima niusifu uwekrzaji wa yanga nje na ndani ya uwanja.
Yanga ina watu wana roho mbaya huwezi kuamini hawakupenda na hawakuwa na furaha mashabiki wa Simba kupewa tuzo ya mashabiki bora.
Walifanikiwa kupandikiza watu walioonekana kama mashabiki wa Simba na wakang'oa viti ili kuichafua brand ya Simba.
Kuna mashabiki wanavaa jezi za Simba lakini ukweli wanaipenda yanga na kutwa kuisema vibaya Simba.
Simba tujifunze kuzuia madhara ya watu kama hawa mapema
Vipi na mlvoenda kuwasha moto kule south na kupigwa faini pia ni watu wa Yanga?//
 
Caf mmejua kutuwezaa aisee

Kazii tunayooo simbaaa

Swali walishaanza kata tkt??

Vipi WALIOKATA TKT tunapataje pesa zetuuu
Hamrudishiwi, zinaenda kulipa fine huko caf
 
Attachments

  • IMG_20210715_175055_302.jpg
    IMG_20210715_175055_302.jpg
    507.7 KB · Views: 3
Wapige marufuku pia utaratibu wa kumulika wachezaji usoni,ni ujinga na ushamba kwenye soka la Africa
Hili haiwezekani hata kule American kusini ndio michezo Yao hata kwenye UEFA ukicheki game za Associazione Calcio Milan wakiwa nyumbani pia huwa na fujo uwanjani na vitochi mixer baruti
 
Hayo maandishi yapo kisiasa CAF haiwezi kusema tumekufungia mechi mbili hapo hapo tumekusehe moja ni either iwe mbili au moja bila kupindisha maneno
Ofcoz, sidhan kama kungekuwepo na haja ya kusema ni mechi mbili lakin moja tumesamehewa.
 
Jambo la maana ni kwamba tayari simba imeshafuzu.
Hivyo Simba ikishinda mchezo wa Jumapili, itaongoza kundi lake na kufanya mchezo wa kwanza wa robo fainali utachezwa ugenini. (Huko hakuna athari yoyote kwa mashabiki wake)

CAF wamefanikiwa kuharibu sherehe tu ya tarehe 19 January
IMG-20250112-WA0026.jpg
 
Caf mmejua kutuwezaa aisee

Kazii tunayooo simbaaa

Swali walishaanza kata tkt??

Vipi WALIOKATA TKT tunapataje pesa zetuuu
Zitatumika kwenye mechi baada ya kufunguliwa...au tukiamua tunalipa tu viingilio kwa kuchangia timu
 
Hayo maandishi yapo kisiasa CAF haiwezi kusema tumekufungia mechi mbili hapo hapo tumekusehe moja ni either iwe mbili au moja bila kupindisha maneno
Ndo uzalendo wenyewe hila ya waliopia tickets zilipe faini
 
Back
Top Bottom