Klabu ya Simba imefungiwa na CAF kucheza bila mashabiki na faini zaidi ya TSh. Milioni 100

Mashab
Mashabiki wenye mawazo kama haya ni mtaji wa viongozi wabovu.
 
Humo uwanjani waangaliaji wanajulikana vp km huyu shabiki wa simba au laa? Sijafahamu 😇
 
CAF sio TFF. Ingelikuwa TFF ndo wanapaswa kutoa adhabu wasingelitoa maana TFF ni Koloz damudamu
 
Historia ya Yanga unaijua vzr kifupi Yanga ni timu ya Malofa historically
 
Hii inaonyesha Simba sasa imefikia level ya Club kubwa kubwa kama ilivyowahi kutokea kwa Liverpool, Manchester United, Al Ahly, Zamalek, Raja, Espirance
 
Reactions: BRN
Mechi Moja na sio mbili wanaunyama Hawa wangefungiwa tani kabisa
 
Kikubwa tumeshafuzu....ila CAF bwanaa wamesubira weeee hawakutaka kutupa stress..
Na nyinyi muachane na tabia yenu mbaya ya kung'oa viti vya uwanja wa Taifa. Hii ni mara ya pili mnafanya uharibifu.
 
Mashahidi wa CAF walikua ni Yanga
 
Haya sasa, Mdakuzi unasemaje?

Hata kama mmeshafuzu, kucheza bila mashabiki mlishangilia wenzenu walipofungiwa sasa na nyie rungu limewafikia pamoja na faini juu.
Tumeshafuzu haina shida. Ni heri sasa kuliko ingekuja robo au tusingekuwa tumefuzu.

Ova
 
Hawa makolo lipo linalowakuta, wao ndio waanzilishi wa vurugu halafu wanapata upendeleo sana. Ile mechi ya Yanga na Al Ahly video zilionyesha kabisa ni makolo waliingilia mechi ya Yanga wakafanya fujo sana hasa baada ya Yanga kusawazisha. Adhabu ikaenda kwa Yanga. Sasa kidogo kidogo CAF wameanza kuwashtukia mbumbumbu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…