Erythrocyte
JF-Expert Member
- Nov 6, 2012
- 128,308
- 245,426
Je Tatizo la Simba ni kocha au wachezaji wazee ? hivi nahodha wa Simba unamfahamu ?Kocha ni lile lile la asec mimosas.. Jamaa anajua.
Huyu msimu uliopita game 2 za yanga na ile wanamfunga al ahly kwenye super cup soka lake si asili ya simba..
Sijui labda aje abadilike.
Bongozozo 🤣🤣Welcome our own Bongozozo
Kocha mzuri ila wachezaji wa NdondoSiku huyo kocha akija akianza kuwauliza wachezaji umri wao ndio utacheka
Bocco miaka 23
Mzamiru miaka 19
Saido miaka 24
Chama miaka 21
Kondeboy miaka 17
Ayoub miaka 15
Kapombe miaka 22
Welcome our own Bongozozo
View attachment 2823626
---
Klabu ya Simba imemtangaza Kocha Abdelhak Benchikha kuwa mrithi wa kiti kilichoachwa wazi na Kocha Roberto Oliveira ‘Robertinho’
Kabla ya kutua mitaa ya Msimbazi Kocha Benchikha ambaye ni raia wa Algeri aliiongoza USM Alger katika fainali za Kombe la Shirikisho Afrika (CAFCC)msimu uliopita na kutwaa kombe mbele ya Yanga SC.
Sharti ni moja tu. Chama akishindwa ku cope mfumo wako, itakubidi wewe sasa ndio u cope mfumo wake.Karibu Kocha wa Mpira Benchikha
Timu yetu ya Simba imekuamini, onesha kuaminiwa
Nyinyi msipende kutoa kashfa bila kuangalia data.Je Tatizo la Simba ni kocha au wachezaji wazee ? hivi nahodha wa Simba unamfahamu ?
Hahaha .....sidhani kama ni kweli hiliSharti ni moja tu. Chama akishindwa ku cope mfumo wako, itakubidi wewe sasa ndio u cope mfumo wake.
Sawa sawa?
Mbn mapema Mkuu?Kocha ni lile lile la asec mimosas.. Jamaa anajua.
Huyu msimu uliopita game 2 za yanga na ile wanamfunga al ahly kwenye super cup soka lake si asili ya simba..
Sijui labda aje abadilike.
Hiki ndio cha msingiKocha mzuri je watampa anachotaka, uhuru wa kusajili na kufanya maamuzi?
watamfukuza kabla hakujakucha. Wanataka matokeo ya harakaharaka kiujanjanja ujanja tu badla ya kujenda taasisiMbinu za huyu kocha na Robati ni chanda na Pete, hao wachezaji wenu wasioweza kufanya mashambulizi ya kushtukiza mtamfukuza kabla ya Pasaka.
Mkuu hatulengi mchezaji mmoja , huyo tumemtumia kama sampo tuNyinyi msipende kutoa kashfa bila kuangalia data.
Mjaji mchezaji kulingana na performance yake na sio umri. Mchezaji unayemuita Mzee hajamfikia umri Messi, Ronaldo, Modric Benzema nk.
Umri sio kigezo cha kucheza vizuri na ndio maana tuna timu ya under 20 ambayo kila siku inabomolewa.
Kila laheri kwake ...Huyu kocha akifukuzwa kisa hajui mpira basi team apewe yule jamaa wa salutiView attachment 2823724
Umri hauchezi, umri una imfluence ndogo sana kwenye performanceMkuu hatulengi mchezaji mmoja , huyo tumemtumia kama sampo tu
basi hayaUmri hauchezi, umri una imfluence ndogo sana kwenye performance
Ingekuwa ni hivyo basi tusinge mtimua banda
Anadhani Simba hii ndio ilee.