Klabu ya Simba imesaini mkataba wa bilioni 38 na Kampuni ya JAYRUTTY mzabuni wa utengenezaji Jezi

Klabu ya Simba imesaini mkataba wa bilioni 38 na Kampuni ya JAYRUTTY mzabuni wa utengenezaji Jezi

Cc Grahams umemuona huyu ndugu yako alivyo ndumi la kuwili, kwenye ule uzi ameipongeza simba kwa kupata hilo dili na mkamsifia kumbe huku aliandika huu utopolo wake, kweli shabiki wa yanga ni wa yanga wao na akili ni kila mtu na njia yake
Kweli haeleweki

Mimi nimemshauri, sio vibaya nao wakaleta timu ya wataalamu wao waje msimbazi kujifunza

Mkataba wa kupata zaidi ya 7.6 Bilioni sio mchezo

Kule kwao, GSM anawachezea anavyotaka 😅
 
Ngoja tusubiri hayo matambara ya Diadora tuone
 
Hawa mabwana tunawasaidia kuwapa kiki kwenye biashara zao, cha ajabu wameshindwa kutupa ubingwa hata mara moja. Jezi imejaa matangazo ila timu ndio hivyo tena.

Napendekeza msimu huu jezi zitolewe bure. Kama watauza wasiweke tangazo hata moja, bora waweke picha za wachezaji wetu tu.
 
Huu mkataba terms zake bado tu hazijaanza utekelezwaji!

Chezaji letu la mashabiki na lile basi letu ndiyo vimeyeya🤣🤣🙌
 
Huu mkataba terms zake bado tu hazijaanza utekelezwaji!

Chezaji letu la mashabiki na lile basi letu ndiyo vimeyeya🤣🤣🙌
Walisema kuanzia msimu huu watasajiri mchezaji mmoja ambao simba watataka asajiriwe, sijajua kwenye hili kama utekelezaji wake umeanza.
 
Back
Top Bottom