Klabu ya Simba imesaini mkataba wa bilioni 38 na Kampuni ya JAYRUTTY mzabuni wa utengenezaji Jezi

Klabu ya Simba imesaini mkataba wa bilioni 38 na Kampuni ya JAYRUTTY mzabuni wa utengenezaji Jezi

Mi nawatakia kila la kheri Babu, ila usisahau leo tuna kibarua kingine kigumu baada ya EPL kutushinda.

Deal šŸ¤
Baada ya miaka zaidi ya 10 leo tunaenda kufuzu kwenda nusu fainali pale pale Santiago Bernabeu

Nia,uwezo na mbinu za kushinda kupitia Mwl Arteta tunazo

Shukrani Mjukuu, tukutane Zanzibar keshokutwa kushuhudia pambano letu šŸ’Ŗ
 
B 5 kwa mwaka si haba ndio faida ya kuwa club na 4 afrika. Kutoka b 2 za mkataba na sandalendi. Hapo utopolo lazima wataongeza sifuri kwenye mkataba wao ilimradi kuwafunga midomo mashabiki wao
Thamani ya uwekezaji uonekana uwanjani.
Ukiona MO anaiacha fursa kama iyo apo Simba ujue anaujua mwisho wake
 
Umesema ???
 

Attachments

  • 20250416_202018.jpg
    20250416_202018.jpg
    31.1 KB · Views: 27
Sasa hivi tutaona uongozi wa ile timu inayopenda kutamba kwenye makombe madogo ikitafuta wadhamini kushindana na Simba ya kimataifa!
Kwaiyo wasitafute wadhamini eti kwasababu wewe kolo umesema? Kila klabu inafanya mambo yake kwa wakati wake na mipango yake uwezi kuwapangia cha kufanya!
 
Wahaya wana mbwembwe na wajanja wajanja sana, ila Mo naye mjanja mjanja sana hiyo kampuni unaweza kuta ana % hapošŸ¤£šŸ™Œ
 
Hiyo ni pesa ndogo mno
Miaka 38 ukiwagawa miaka 5 kila mwaka Simba utapata billion 7
Hili Dili mbumbumbu wameliwa kudadek
Wewe ndio mbumbumbu hoves kabisa! Kumbuka sandaland aliweka 2b, kwa mwaka Hawa wameweka 7b kwa mwaka, utopolo hamweleweki mnapata Nini, maana mnaficha kwa sababu mnachopata ni aibu! Wivu tu umewajaa, mna hasira kutaka kutapika! Hovyo kabisa watu kama wewe!
 
Bilion 7.6 kwa mwaka siyo haba.
Unalipa mishahara pamoja na mambo mengine kadhaa.

Brand ya Simba inavutia kuwekeza.
 
Hizi kampeni za Jayruty ni kama za kisiasa hivi,naliona bus tu hapo lakini nalo kwa mbinde sana, hata kama ni mwaka wa uchaguzi kamba zimezidi
 
Hizi jezi za simba na yanga huwa wanatengenezea nchi gani? Kwa marekani jezi moja hadi ikamilie ikiwa imetengenezewa cheap material ni around dola 20 kwa jezi moja.

Kibongobongo tunazungumzia karibia elfu 50 bado hujaweka gharama ya kumuuzia mteja ili upate elfu 50 yako kwanza na faida. Sasa ukitoa 7 b kwa team iliyokupa tenda kisha ndio uende ukazalishe jezi hapo utaspend sh ngapi ili uzalishe jezi zitakazo rudisha hiyo 7B na faida juu kwa mwaka?
watanzania tunafyatulia China hapo!!!....so hao jamaa hapo wana kama miez mitatu hv ya kudesign na kuzalisha mzigo maana mwez wa saba mwishon mzigo unahitajika uzinduliwe
 
Sasa hivi tutaona uongozi wa ile timu inayopenda kutamba kwenye makombe madogo ikitafuta wadhamini kushindana na Simba ya kimataifa!
Unakusudia ile Timu inayoogopwa na Simba ya kimataifa? Ile ambayo Simba ya kimataifa iliikimbia tarehe 8?
 
hiyo biashara inahitaji uzoefu nayo la si hivyo inakufilisi asubuh tu

kumbuka unatakiwa utoe pesa kwa simba upfront halaf wewe ukaprint na zije kwa wakati sasa kama ndo huna kiwanda ambachob una uhakika nacho wakichelewesha mzigo tu ndani ya week umeshakula hasara(ref.vunjabei)...baada ya hapo unatakiwa upige promo jersey iende urudishe pesa yako uliyotoa,kama una team ya watanzania ndo wanasimamia sales lazima wakuibie mpk unyooke.......sasa mtu umetoa more than 8Billion kwa mwaka halafu uanze kuishi kwa presha si bora ukafungue sheli za mafuta tu
Wabongo bhna wewe unatoa huu ushauri ukiwa unamiliki bilion ngapi account?
 
Back
Top Bottom