Klabu ya Simba imesaini mkataba wa bilioni 38 na Kampuni ya JAYRUTTY mzabuni wa utengenezaji Jezi

Klabu ya Simba imesaini mkataba wa bilioni 38 na Kampuni ya JAYRUTTY mzabuni wa utengenezaji Jezi

Kuna hawa wahaya naona wanazo
hiyo biashara inahitaji uzoefu nayo la si hivyo inakufilisi asubuh tu

kumbuka unatakiwa utoe pesa kwa simba upfront halaf wewe ukaprint na zije kwa wakati sasa kama ndo huna kiwanda ambachob una uhakika nacho wakichelewesha mzigo tu ndani ya week umeshakula hasara(ref.vunjabei)...baada ya hapo unatakiwa upige promo jersey iende urudishe pesa yako uliyotoa,kama una team ya watanzania ndo wanasimamia sales lazima wakuibie mpk unyooke.......sasa mtu umetoa more than 8Billion kwa mwaka halafu uanze kuishi kwa presha si bora ukafungue sheli za mafuta tu
 
Kikubwa ni timu ifanye vizuri, ikidorora jezi itakuwa hasara
 
Sio mbaya Kwa Club

Bilioni 38 ni wastani wa shilingi 7.6 bilioni Kwa Mwaka

Ukiongeza na mapato mengine ya Club, tukiamua tunaweza kuendelea kukimbizana na timu za Waarabu katika CAF rankings miaka 5 ijayo
Bado sana mkuu.
Kwa sasa unajua mikataba ya jezi wka zile top 3 za caf?
 
Kampuni ya JAYRUTTY imeshinda tenda ya zabuni ya utengenezaji na usambazaji wa jezi za Simba SC.

Klabu ya Simba imesaini mkataba wa miaka mitano wenye thamani ya Bilioni 38 na Kampuni ya JAYRUTTY kwa ajili ya kutengeneza na kusambaza jezi na vifaa vyenye nembo ya Simba.
View attachment 3306546
Ulivyoandika.utadhani.kila.mtu anaifahamu jarutty
 
Bado sana mkuu.
Kwa sasa unajua mikataba ya jezi wka zile top 3 za caf?
Sina uzoefu nazo

Ila naona changamoto ni kuingia mikataba ya muda mrefu

Kwa Ukubwa na fan base tuliyonayo, tulikuwa na uwezo wa kuvutia hata wawekezaji wa Ulaya

Ni vile bado tuna uswahili Swahili fulani
 
Mmeyataka wenyewe Babu, mie wala sijasema chochote nimetoa tahadhari tu.

Mechi ya mwisho hiyo, jiandaeni vyema msifungwe nyingi tu maana kufungwa hakukwepeki.
Mfyuuuuuu, Hebe nendeni Muungano kapu tuna kazi ya kimataifa sisi
 
Back
Top Bottom