Klabu ya Simba imesaini mkataba wa bilioni 38 na Kampuni ya JAYRUTTY mzabuni wa utengenezaji Jezi

Klabu ya Simba imesaini mkataba wa bilioni 38 na Kampuni ya JAYRUTTY mzabuni wa utengenezaji Jezi

Kuna uhusiano wowote na Amberutty?

Hapa Kuna udanganyifu Kuna watu wanaingizwa kingi! Simba haiwezi kuzalisha hiyo pesa!

BTW, hiyo kampuni naisikia leo kwa mara ya kwanza!
 
hiyo biashara inahitaji uzoefu nayo la si hivyo inakufilisi asubuh tu

kumbuka unatakiwa utoe pesa kwa simba upfront halaf wewe ukaprint na zije kwa wakati sasa kama ndo huna kiwanda ambachob una uhakika nacho wakichelewesha mzigo tu ndani ya week umeshakula hasara(ref.vunjabei)...baada ya hapo unatakiwa upige promo jersey iende urudishe pesa yako uliyotoa,kama una team ya watanzania ndo wanasimamia sales lazima wakuibie mpk unyooke.......sasa mtu umetoa more than 8Billion kwa mwaka halafu uanze kuishi kwa presha si bora ukafungue sheli za mafuta tu
Hizi jezi za simba na yanga huwa wanatengenezea nchi gani? Kwa marekani jezi moja hadi ikamilie ikiwa imetengenezewa cheap material ni around dola 20 kwa jezi moja.

Kibongobongo tunazungumzia karibia elfu 50 bado hujaweka gharama ya kumuuzia mteja ili upate elfu 50 yako kwanza na faida. Sasa ukitoa 7 b kwa team iliyokupa tenda kisha ndio uende ukazalishe jezi hapo utaspend sh ngapi ili uzalishe jezi zitakazo rudisha hiyo 7B na faida juu kwa mwaka?
 
Ma
Kampuni inaitwa sijui Amberruty yaani miaka mitano bilioni 30 😂😂😂 Mbumbumbu siku zote ni Mbumbumbu
Mkataba wako na Azam ni 51B tena kabla ya kodi na ni miaka 10

Unahisi nani hana akili
Muwe mnafatilia

Mkataba wa GSM na Yanga kwenye jezi una thamani gani?
 
Huu mkataba nimeshindwa kuulewa! Mpaka ujenzi wa viwanja?? Anyways, studio na Ofisi!

Wameahidi kuleta Jezi ya maana sana.
Kampuni ni ya Muhaya, nadhani wahaya unawajua vizuri kwa kutaka sifa. Kajipa majukumu mengi hadi yasiyomuhusu kwa biashara ya jezi ambayo hajaijua changamoto zake kiundani. Kuna mengi sana ya kupambana nayo
1) jezi feki
2) jezi kuwa na mvuto
3) kuleta jezi kwa wakati
4) kufanya uhamasishaji wa mashabiki kununua jezi
 
Hili la viwanja limenishangaza sana! Anyways, labd Kuna namna nao wata benefit sana! Hasa kwenye % ya kila kina hoingia kutokana na uwekezaji huo.

Ingawa hatujui ita last kwa muda gani!
 
Ukiwa mke wangu mdogo nakulisha
Hadi utaona billion 38 ni pesa ndogo Kwa taasisi kubwa kama Simba
Kwanini usimripoti huyo asie jua nini maana ya kujadili kistaarabu na GT wa hapa JF? Active mnawalea lea sana watu wanao leta matusi humu.
 
Kampuni ni ya Muhaya, nadhani wahaya unawajua vizuri kwa kutaka sifa. Kajipa majukumu mengi hadi yasiyomuhusu kwa biashara ya jezi ambayo hajaijua changamoto zake kiundani. Kuna mengi sana ya kupambana nayo
1) jezi feki
2) jezi kuwa na mvuto
3) kuleta jezi kwa wakati
4) kufanya uhamasishaji wa mashabiki kununua jezi
Wewe na yeye nani aliyefanua walau risk analysis

Wewe tulia
 
Wala sio ujinga..ni umaskin na ufukara ndio unawasumbua hakuna kingine...
Imagine mjinga na masiki fukara anakupiga 5, mara unakumbuka 1 bila, halafu tarehe 8 tajiri unamkimbia maskini...
 
Kampuni ni ya Muhaya, nadhani wahaya unawajua vizuri kwa kutaka sifa. Kajipa majukumu mengi hadi yasiyomuhusu kwa biashara ya jezi ambayo hajaijua changamoto zake kiundani. Kuna mengi sana ya kupambana nayo
1) jezi feki
2) jezi kuwa na mvuto
3) kuleta jezi kwa wakati
4) kufanya uhamasishaji wa mashabiki kununua jezi
Ngoja tusubiri! Ila nawasi wasi sana!
 
Babu hii nusu hamtoboi, haki vile.

Sitaki maneno mengi, tuweke dau.
Vibaya hivyo Mjukuu, hivi si unajua mdomo huumba 🤗

Niambie tuweke kiasi gani? Me nakuhaidi kukupatia tiketi ya kwenda Zanzibar na ukalale hotel Verde Kwa Siku mbili chakula,Vinywaji inclusive
 
Vibaya hivyo Mjukuu, hivi si unajua mdomo huumba 🤗

Niambie tuweke kiasi gani? Me nakuhaidi kukupatia tiketi ya kwenda Zanzibar na ukalale hotel Verde Kwa Siku mbili chakula,Vinywaji inclusive
Ndio ukweli wenyewe Babu, sitaki kukudanganya upate pressure bure ni bora nikwambie ukweli ujiandae.

Babu stake yako nzito, mi nitaweka 100K tukutane baada ya second leg tiketi itageuka kuwa cash nipange mwenyewe.
 
Tutavuka tu hiyo stage Mjukuu, niamini nakwambia 💪

Kama umeweka 100k natakiwa nami niweke 100k ili mzani ubalance 🤗

Baada ya second leg tusipoendelea nakutumia cash yako
 
Wazawa jitahidini kuja na jezi kali. Sio mnapata kazi halafu jezi mbovu
Mkuu jezi bora zinatengenezwa na Ksmpuni kubwa za vifaa vya michezo na siyoVunja bei wala Sanda, We ukitaka kujua hilo we angalia jezi za Timu kama Zanaleki, Orlando, kisha angalia jezi za Timu zetu kuna utofauti mkubwa. Jezi bora zina tengenezwa na Adidas, Nike. PUMA, kappa.
 
Tutavuka tu hiyo stage Mjukuu, niamini nakwambia 💪

Kama umeweka 100k natakiwa nami niweke 100k ili mzani ubalance 🤗

Baada ya second leg tusipoendelea nakutumia cash yako
Mi nawatakia kila la kheri Babu, ila usisahau leo tuna kibarua kingine kigumu baada ya EPL kutushinda.

Deal 🤝
 
View attachment 3306575
Kampuni ya JAYRUTTY imeshinda tenda ya zabuni ya utengenezaji na usambazaji wa jezi za Simba SC.

Klabu ya Simba imesaini mkataba wa miaka mitano wenye thamani ya Bilioni 38 na Kampuni ya JAYRUTTY kwa ajili ya kutengeneza na kusambaza jezi na vifaa vyenye nembo ya Simba.
View attachment 3306546
Kampuni ya JAYRUTTY Investment baada ya kusaini mkataba wa miaka mitano na Simba SC, JAYRUTTY wao wameingia mkataba na kampuni ya vifaa vya michezo Duniani Diadora.
View attachment 3306574
Mkataba wa JAYRUTTY na Diadora ni kwa ajili ya kufanya production ya jezi na vifaa vyote vya Simba Sports Club.

Mkataba wa Simba SC na JAYRUTTY Investment tofauti na kutoa fedha lakini pia atajenga uwanja ambao utabeba mashabiki 10,000 mpaka 12,000 uwanja utajengwa Bunju.

Lakini pia JAYRUTTY Investment watanunua Bus jipya aina ya Irizar, watajenga ofisi mpya kama makao makuu ya Klabu.
Sasa hivi tutaona uongozi wa ile timu inayopenda kutamba kwenye makombe madogo ikitafuta wadhamini kushindana na Simba ya kimataifa!
 
Back
Top Bottom