Tochuku
JF-Expert Member
- Aug 16, 2024
- 5,322
- 8,412
Umaskin wa kifikra.Hilo jina hilo, ni kiasi cha muda tu wanangu wa Jangwani watakuja na meme zake.
Umaskin wa kifikra.Hilo jina hilo, ni kiasi cha muda tu wanangu wa Jangwani watakuja na meme zake.
Nilijua tu ulicholenga kutupigia nacho Mjukuu 😜Mmeyataka wenyewe Babu, mie wala sijasema chochote nimetoa tahadhari tu.
Mechi ya mwisho hiyo, jiandaeni vyema msifungwe nyingi tu maana kufungwa hakukwepeki.
Sipati picha jezi ya 5imbaUmaskin wa kifikra.
Achana na mashabiki mafukara.Acheni upumbavu kuharibu brand za watu. Hii ni biashara sio ushabiki wa Simba na Yanga
Huu mkataba nimeshindwa kuulewa! Mpaka ujenzi wa viwanja?? Anyways, studio na Ofisi!Wazawa jitahidini kuja na jezi kali. Sio mnapata kazi halafu jezi mbovu
Ametoa ahadi nyingi sana halafu biashara yenyewe ya jezi ndio kwanza anaanza.Hii kampuni inaonekana ina ukwasi wa kutosha kwa hivi vitu wanavyoahidi kutekeleza
Njoo na wewe nikulishePesa ya kununua Chakula tu Cha kuwalisha familia yako huna , unavimba mapumbu kuizungumzia bilioni 38..fala wewe.
Kwan Hersi si alitangaza hadharani kwamba wanalipwa afutatu au mlikua wapi?Sema kweli 🙄🙄
Hata mimi, maana anataja viwanja, bonus, studio kama other benefitsHuu mkataba nimeshindwa kuulewa! Mpaka ujenzi wa viwanja?? Anyways, studio na Ofisi!
Wameahidi kuleta Jezi ya maana sana.
hongerni wataniWazawa jitahidini kuja na jezi kali. Sio mnapata kazi halafu jezi mbovu
Wala sio ujinga..ni umaskin na ufukara ndio unawasumbua hakuna kingine...Chini amber rutty juu sanda.
Muwe mnaabgalia na contextual meaning yanajina ya wafadhili wenu,acheni ujinga
Duu aiseeKwan Hersi si alitangaza hadharani kwamba wanalipwa afutatu au mlikua wapi?
Kwa kweli hii ni hatua kubwa sana. Tunawashauri na nyinyi mtoke kwenye aftatuhongerni watani
hatua kubwa sana hii waani,sasa walau tutaona jezi na sio madelaView attachment 3306575
Kampuni ya JAYRUTTY imeshinda tenda ya zabuni ya utengenezaji na usambazaji wa jezi za Simba SC.
Klabu ya Simba imesaini mkataba wa miaka mitano wenye thamani ya Bilioni 38 na Kampuni ya JAYRUTTY kwa ajili ya kutengeneza na kusambaza jezi na vifaa vyenye nembo ya Simba.
View attachment 3306546
Kampuni ya JAYRUTTY Investment baada ya kusaini mkataba wa miaka mitano na Simba SC, JAYRUTTY wao wameingia mkataba na kampuni ya vifaa vya michezo Duniani Diadora.
View attachment 3306574
Mkataba wa JAYRUTTY na Diadora ni kwa ajili ya kufanya production ya jezi na vifaa vyote vya Simba Sports Club.
Jezi imeandikwa amber Ruty kifuaniWala sio ujinga..ni umaskin na ufukara ndio unawasumbua hakuna kingine...
Mwanamke akiwa mchawi lazima auawawe.Mmeyataka wenyewe Babu, mie wala sijasema chochote nimetoa tahadhari tu.
Mechi ya mwisho hiyo, jiandaeni vyema msifungwe nyingi tu maana kufungwa hakukwepeki.
Amber Ruty kifuanihatua kubwa sana hii waani,sasa walau tutaona jezi na sio madela
Babu hii nusu hamtoboi, haki vile.Nilijua tu ulicholenga kutupigia nacho Mjukuu 😜
Mechi lazima tushinde na kwenda Fainali
Na ukiendelea kuwa Thomaso, utafanya nimwombe Mkwe akupe ruhusa twende wote Zanzibar tukashuhudie wote hiyo mechi 🤗
Hii kitu huwa nawahusia sana Matajiri wenzangu sio vyema kujionesha.Bongo kuna mijitu ina hela halafu ipo kimya tu