Klabu ya Simba imesaini mkataba wa bilioni 38 na Kampuni ya JAYRUTTY mzabuni wa utengenezaji Jezi

Klabu ya Simba imesaini mkataba wa bilioni 38 na Kampuni ya JAYRUTTY mzabuni wa utengenezaji Jezi

Attachments

  • Screenshot_20250416-205516_Lite.jpg
    Screenshot_20250416-205516_Lite.jpg
    368.9 KB · Views: 27
Kampuni inaitwa sijui Amberruty yaani miaka mitano bilioni 30 😂😂😂 Mbumbumbu siku zote ni Mbumbumbu
Mkuu kampuni ya kitapeli ni wakala wa kuuza mabati, Saruji, none na Misumari pale Buguruni
 
Thamani ya uwekezaji uonekana uwanjani.
Ukiona MO anaiacha fursa kama iyo apo Simba ujue anaujua mwisho wake
Hujui hata kusoma?Tokea lini M0 akawa kit provider wa Simba.Huyo ni kit provider.Au bilioni 38 imekufanya uweweseke?
 
Kwaiyo wasitafute wadhamini eti kwasababu wewe kolo umesema? Kila klabu inafanya mambo yake kwa wakati wake na mipango yake uwezi kuwapangia cha kufanya!
Ni kwa sababu hawana akili ya kufanya yao mpaka waige toka kwa Simba
 
Wabongo bhna wewe unatoa huu ushauri ukiwa unamiliki bilion ngapi account?
attack the message not the Messenger

"ukimwambia binti yako asibebe mimba akiwa shuleni haimaanishi ni mpaka uwe wewe ulibeba mimba shuleni ila ni kwamba unayajua madhara ya mimba shuleni"
 
SIMBA MMEINGIZWA CHAKA, JAYRUTTY HAWANA UWEZO WA KUDHAMINI BIL 38! NEVER MTAAIBIKA SOON
HAO NI MATAPELI
 
SIMBA MMEINGIZWA CHAKA, JAYRUTTY HAWANA UWEZO WA KUDHAMINI BIL 38! NEVER MTAAIBIKA SOON
HAO NI MATAPELI
Mo Dewji alikuwa mmoja wa Watu walikuwepo kwenye sakata la Ununuzi wa Sukari kupitia Kampuni ya makasha ya Simu, same here
 
Hiyo ni pesa ndogo mno
Miaka 38 ukiwagawa miaka 5 kila mwaka Simba utapata billion 7
Hili Dili mbumbumbu wameliwa kudadek
Eeh.. unajielewa
Ametoa ahadi nyingi sana halafu biashara yenyewe ya jezi ndio kwanza anaanza.
Kama mwekezaji wa jezi ameongeza na viwanja sijui na nini.. ujue basi hapo hamna kitu..
Mwekeza au mfanyabiashara serious huwa anadeal na jambo moja hadi likae sawa then anaweza kuongeza na extra sasa..
 
Back
Top Bottom