Van pebles
JF-Expert Member
- Oct 23, 2018
- 2,861
- 5,305
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
😅😅😅😅 mpaka kieleweke.
Kila na kheri timu yangu ya simba. Najua hamta tuangusha. Japo wana yanga mambumbumbu wanatuombea mabaya lakini tunawasamehe maana hawajui watendalo. kwani mafanikio ya simba yana jenga heshima ya nchi kwa kuongeza point zitakazopelekea nchi kuongezewa tim kwenye mashindano hili hawalioni.
Joti nataman angekua uku angewakomesha Na umbea wenu[emoji28][emoji28][emoji28][emoji28] mpaka kieleweke.
Ule ulikuwa ni upepo tu sasa hivi ndo kimbunga kamili
Kama sio 8 basi 10
Hapo sawa na kule mkapaki basi kama lile la Inter Milan kipindi cha Mourino miaka hiyoooo.Tupigane at least tupate ushindi wa kuanzia 3.0 kwenda mbele
Haya wacha nisubiri kwa mara ingine.Nani kakudanganya tutaweka msiba, hakuna kitu kama hicho
Happiness is a lifestyle
Nasubiri muurudie tena huo Ubavu nione Mkuu.Kwani nkana tuliwatoa kwa ubavu gani..mwaka huu mtaweweseka sana
Ama la di Mateo na Chelsea walilopaki mbele ya fc Bayern pale alianz arena na wakafanikiwaHapo sawa na kule mkapaki basi kama lile la Inter Milan kipindi cha Mourino miaka hiyoooo.
Mwambie sijambo. 😎😎😎
😀😀😀 Utani wa Jadi ndo ulivyo. Japo ikitokea tutashiriki pia.hahaha hivi kwanini mnatupiga vita hivi wakati tu nataka kuwapatia viti maalum ili mwakani tuwe pamoja sote
Hivyo nitegemee mnampiga ngapi kwa Mkapa ili ukienda Congo iwe Kilio kwa Mazembe?Umeshajua tukianzia ugenini tukirudi nyumbani ushindi wetu... Hiyo formula tunambadilshia TP Mazembe atalia kama mtoto mdogo mark my word
Happiness is a lifestyle