Klabu ya Simba yapangiwa TP Mazembe kwenye robo fainali Ligi ya Mabingwa Africa

Klabu ya Simba yapangiwa TP Mazembe kwenye robo fainali Ligi ya Mabingwa Africa

Washaliona na wakakushukuru ss unataka iwe mazoea kama Yanga ni msosi unaokulaga kila siku?
Kila na kheri timu yangu ya simba. Najua hamta tuangusha. Japo wana yanga mambumbumbu wanatuombea mabaya lakini tunawasamehe maana hawajui watendalo. kwani mafanikio ya simba yana jenga heshima ya nchi kwa kuongeza point zitakazopelekea nchi kuongezewa tim kwenye mashindano hili hawalioni.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom