Waufukweni
JF-Expert Member
- May 16, 2024
- 5,383
- 18,776
Daaaahπ€£π€£π€£Klabu ya Singida Black Stars imemtangaza Waziri wa Fedha na Mbunge wa Iramba Magharibi, Dr. Mwigulu Lameck Nchemba, kuwa mlezi wao rasmi.
Awali, Dr. Mwigulu alikuwa akishiriki kama mdau wa kawaida kwa kutoa michango yake kusaidia timu hiyo, lakini sasa atakuwa na nafasi kubwa katika kuiunga mkono klabu kwa karibu zaidi.
π πDaaaahπ€£π€£π€£
Wanatufanya sisi mabwege (kwa sauti ya Mbunge bwege)
Huyo ni mmiliki wa hiyo klabu na anaiendesha kwa fedha za wizi kutoka kwenye tozo tunazokatwa kwenye miamala. Awamu ya sita ni genge la wezi wa mali ya umma wakiongozwa na wanayemuita mama yaoKlabu ya Singida Black Stars imemtangaza Waziri wa Fedha na Mbunge wa Iramba Magharibi, Dkt. Mwigulu Lameck Nchemba, kuwa mlezi wao rasmi.
Awali, Dr. Mwigulu alikuwa akishiriki kama mdau wa kawaida kwa kutoa michango yake kusaidia timu hiyo, lakini sasa atakuwa na nafasi kubwa katika kuiunga mkono klabu kwa karibu zaidi.
Mlezi.... Mmiliki!! Siyo vizuri kuwageuza watu wazima kuwa watoto.Klabu ya Singida Black Stars imemtangaza Waziri wa Fedha na Mbunge wa Iramba Magharibi, Dkt. Mwigulu Lameck Nchemba, kuwa mlezi wao rasmi.
Awali, Dr. Mwigulu alikuwa akishiriki kama mdau wa kawaida kwa kutoa michango yake kusaidia timu hiyo, lakini sasa atakuwa na nafasi kubwa katika kuiunga mkono klabu kwa karibu zaidi.
Duu hii nchi...Huyo ni mmiliki wa hiyo klabu na anaiendesha kwa fedha za wizi kutoka kwenye tizi tunazokatwa kwenye miamala. Awamu ya sita ni genge la wezi wa mali ya umma wakiongozwa na wanayemuita mama yao
Hawa matajiri wenye asili ya Kiarabu majority yao wanatumia Public sympathy kuprotect Weath yaoMkitaka tuwashughurikie vizuri wahuni wote, wekeni pembeni Usimba na Uyanga, tusiwachekee wezi.
Hata huyu GSM wamefisadi sana nchi yetu na Home Shopping center yake, ndio pesa zingine anazitakatisha Yanga na hapo huwezi kumgusa tena kwa sababu anawapa furaha Yanga lakini ni mtandao wa majizi tu.
Nendeni straight to the point
MMILIKI
Weath ndio nini? Andika tu kimatumbi tulichokizoeaHawa matajiri wenye asili ya Kiarabu majority yao wanatumia Public sympathy kuprotect Weath yao
Hii kitaalam inaitwaKlabu ya Singida Black Stars imemtangaza Waziri wa Fedha na Mbunge wa Iramba Magharibi, Dkt. Mwigulu Lameck Nchemba, kuwa mlezi wao rasmi.
Awali, Dr. Mwigulu alikuwa akishiriki kama mdau wa kawaida kwa kutoa michango yake kusaidia timu hiyo, lakini sasa atakuwa na nafasi kubwa katika kuiunga mkono klabu kwa karibu zaidi.