GE2025 Klabu ya Yanga imechagia milion 100 CCM gala dinner 2025

GE2025 Klabu ya Yanga imechagia milion 100 CCM gala dinner 2025

Matukio, Taarifa, Habari na Mijadala ya Wananchi WAKATI wa Mchakato wa Uchaguzi Mkuu 2025
Sasa yanga amechanga kama taasisi au ni pesa ya boss wao?
Je, yanga inahusiana na ccm kwa namna gani?
Je, wanachama wa yanga wasio wana ccm wamekubali kuwa timu yao ni tawi tiifu la ccm?

Hii nchi ujinga ni mwingi sana, uko tuendako itakuwa aibu kujitambulisha ni mtanzania kama ilivyo aibu sasa kujitambulisha ni shabiki wa yanga.
Yanga ni team ya nchi, chama na serikali. Ni team kubwa siyo kama mikia haina wenyewe. Na bado mtalia sana miaka hii.
 
Sawa, Utopolo wanalipa Fadhila kwa Ubingwa wa Mwaka huu, Mama aliokoa jahazi.

Wangeingiza timu tarehe 15, wangekiona cha mtema kuni
Wewe kama una akili basi una akili sana maana wewe ni mwanachama mtiifu wa ccm na umeleta post yako kuharibu mjadala ili uhamie kwenye nani alistahili kushinda.
Ila kama lengo lako sio hilo,na wewe sio mwana ccm ,basi ni miongoni mwa watu wapumbavu zaidi duniani
 
Mfadhiri wa klabu akiichangia CCM inaonekana klabu ndio imechangia? GSM ni mfadhili tu wa klabu na ana maisha yake binafsi nje ya Ufadhili. na akizongwa sana anaweza kuacha kufadhili klabu yenu kisha akapewa ubunge wa kuteuliwa na mh.rais kisha akapewa uwaziri. hakuna miiko anayopewa mfadhili kuwa akiwa mfadhili asijihusishe na siasa. Tuacheni uzwazwa.
 
Daaah nawaonea huruma mashabiki wa utopolo kumbe simba huwa tunashinda na dola ya ccm uwanjani yanga ni picha tu
 
Kisheria kwani yanga kuna kifungu cha Caf au Fifa kinazuia wasichangie chama cha siasa??
 

Attachments

  • downloadfile-24.jpg
    downloadfile-24.jpg
    103.6 KB · Views: 31
Hivi rungu la FIFA haliwezi kuipitia Yanga kweli???.... Kanuni zinasemaje juu ya kitu hii
 
CCM ni kama maji, lazima ukutane nayo mahali. Yanga imetuchangia 100 milionis na moja kati ya wanazi sugu wa Yanga ni Lissu...... Tunamshukuru kwa upendo wake kwa CCM
 
CCM ni kama maji, lazima ukutane nayo mahali. Yanga imetuchangia 100 milionis na moja kati ya wanazi sugu wa Yanga ni Lissu...... Tunamshukuru kwa upendo wake kwa CCM
Unaandika sana ujinga iwe kasigazi
 
CCM ni kama maji, lazima ukutane nayo mahali. Yanga imetuchangia 100 milionis na moja kati ya wanazi sugu wa Yanga ni Lissu...... Tunamshukuru kwa upendo wake kwa CCM
Itoshe tu kusema unabokolewa.
 
Back
Top Bottom