Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Utopolo mwanasheria wenu ni mtuhumiwa wa vyeti feki ni kilaza sanaSawa mwanachama hai wa Rage
Ni kulaza kuliko wewe mbumbumbuUtopolo mwanasheria wenu ni mtuhumiwa wa vyeti feki ni kilaza sana
Hakuna kesi hapo wala mwanasheria wa kufungua kesi na kuwafanya mshinde kesi. Kagoma vipi bado ni mchezaji wenu?Unaipanga Yanga yupi wa kushitaki na yupi wa kuacha
Yanga tunaanza na Ahmed Ali liwe funzo Kwa wachambuzi na wajinga wengine
Acha ubush lawyer.Kamwe alikashifu brand ya Sandaland, Ahmedy hajakashifu hapo ili msinde hiyo kesi itabidi kwanza muwashtaki wachambuzi wote wa mpira wanaoiongelea Yanga kwenye media, inaongelewa manchster united sasa utopolo ni nani asiongelewe?
Sanda Naye ni nani asiongelewe?Kamwe alikashifu brand ya Sandaland, Ahmedy hajakashifu hapo ili msinde hiyo kesi itabidi kwanza muwashtaki wachambuzi wote wa mpira wanaoiongelea Yanga kwenye media, inaongelewa manchster united sasa utopolo ni nani asiongelewe?
Sijachangia nimekupa taarifaIla wewe kiherehere kimekupanda ukaja kuchangia
anzisha Uzi wako tuoneSijachangia nimekupa taarifa
Wewe ndo wale Rage alivowaita lile jina la aibu......... Leo silitajiHakuna kesi hapo wala mwanasheria wa kufungua kesi na kuwafanya mshinde kesi. Kagoma vipi bado ni mchezaji wenu?
Madai yaliyo ambatanishwa kwenye hiyo barua yao inaonesha ni jinsi gani kitengo cha kisheria cha yanga kilivyo jaa vilaza na ndio maana hawajawahi kushinda kesi yeyote.
[/QUOT Rage aliona mbali kuwatia mbumbumbu
Ukishindaa wewe kesi za apo mtaani kwenu inatosha..Madai yaliyo ambatanishwa kwenye hiyo barua yao inaonesha ni jinsi gani kitengo cha kisheria cha yanga kilivyo jaa vilaza na ndio maana hawajawahi kushinda kesi yeyote.
Kwa hiyo kama ID ya gonamwitu haikuogopeshi hata avatar yake haikutii hofu!Ila wewe kiherehere kimekupanda ukaja kuchangia
Wapuuzi soka imewapiga sasa wanahanjahanjaKlabu ya Yanga imemtaka Meneja habari na mawasiliano wa Simba SC , Ahmed Ally kutoka hadharani na kuomba radhi kwa matanshi wanayodai yameichafua klabu yao (Yanga) mbali na hili wanadai fidia ya Tsh Bilioni 10
Kauli ya Ahmed iliyosababisha haya 👇
“Pacome amemaliza mkataba tukiona anafaa tutahangaika nae , Pacome amemaliza mkataba ndani ya Yanga na hana mpango wa kuongeza ..mtanyoa ndevu mwaka huu hana mpango wa kuongeza amechoka kuchomwa sindano kila siku kama anazuia mimba”
“Tunaangalia kiwango chake kama kitaturidhisha tutahangaika nae lakini kama ataendelea na mwenendo wake anaoendelea nao tutawaachia…kama tulivyowaachia Chama na tunataja majina Live hakuna kutumia code”
Demand letter ya Yanga imeeleza kuwa kauli hiyo ni ya upotoshaji na imejaa dharau kwa klabu yao , hivyo imeharibu mahusiano yao na wadau wa kibiashara na wadhamini
Yanga wanamtaka Ahmed afanye yafuatayo ndani ya siku tano (5)
1.Kuomba radhi kwa njia sawa na aliyotumia kutoa kauli yake
2.Kufidia malipo ya Tsh Bilioni 10 ( 10,000,000,000)
Yanga wamemaliza kwa kusema kama hayo maagizi hayatafanyiwa kazi watafuata hatua za kisheria zaidi
Credit _ @cloudsfmtzView attachment 3167601
Similarly to, character assassinationsYoung Africans imemdai msemaji wa Simba Ahmed Ali
Aliyeidhalilisha club ya Yanga alipo sema eti Pacome hana mkataba na Yanga na kwamba amechoka kuchomwa mashindano kama anazuia mimba.
Kauli hiyo imesabibisha Young Africans kuathirika kibiashara
Young Africans imemtaka Ahmed Ali atoke Hadharani aombe radhi au alipe billion 10 Kwa kufanya defamation Kwa club ya Young Africans
Tukumbuke Young ndo bingwa mara 30
Na pia anawakirisha nchi katika club bingwa
Yanga bingwa