Klabu ya Yanga imemtaka Ahmed Ally kuomba radhi kwa matamshi wanayodai yameichafua klabu yao (Yanga) na wanadai fidia ya Tsh Bilioni 10

Klabu ya Yanga imemtaka Ahmed Ally kuomba radhi kwa matamshi wanayodai yameichafua klabu yao (Yanga) na wanadai fidia ya Tsh Bilioni 10

Young Africans imemdai msemaji wa Simba Ahmed Ali
Aliyeidhalilisha club ya Yanga alipo sema eti Pacome hana mkataba na Yanga na kwamba amechoka kuchomwa mashindano kama anazuia mimba.

Kauli hiyo imesabibisha Young Africans kuathirika kibiashara

Young Africans imemtaka Ahmed Ali atoke Hadharani aombe radhi au alipe billion 10 Kwa kufanya defamation Kwa club ya Young Africans

Tukumbuke Young ndo bingwa mara 30

Na pia anawakirisha nchi katika club bingwa

Yanga bingwa
Aya mambo ya kudaiana daina yatakuwa kama yale ya patent kati ya samsung na apple hadi wao ilifika kipindi wakaona kweli ni udwanzi wakaamua achana nayo.
Nadhani yanga wanajibu maana hawa vijana walikuwa wanapigana madongo tu ya kawaida ambayo sometimes anayesikiliza anajua kabisa si kweli tu wanasheherehesha.
Sasa yanini kupelekana mahakamani.
 
Mbumbumbu wachokozi
 
Brela kuna kampuni inaitwa Bwana Sanda? Kabla ya huyo sandaland kuingia ukoloni Nani alkuwa anamjua? Nyie makolo jezi mbovu zimedoda mnatafuta pakufidia sasa hamed alli anatukana wachezaji wa Yanga tena kwa majina kabsa hapo huoni utofauti?
Sanda ni mmiliki wa kampuni ya uuzaji wa nguo, jina lake kamili ni Sanda Omary Yenga. Kwa hiyo Ally Kamwe alitaja kwa uhalisi kabisa wa 100% jina la Mr. Sanda. Hii ni kesi ya Sanda dhidi ya Ally Kamwe, Simba haihusiki
 
Brela kuna kampuni inaitwa Bwana Sanda? Kabla ya huyo sandaland kuingia ukoloni Nani alkuwa anamjua? Nyie makolo jezi mbovu zimedoda mnatafuta pakufidia sasa hamed alli anatukana wachezaji wa Yanga tena kwa majina kabsa hapo huoni utofauti?
Hao waache wapambane na Ali kamwe wakishtuka Yanga bingwa
 
Sawa. Mahakama itatafsiri kama kuchomwa sindani kwa Pacome ni jambo la kuchafua jina la Yanga, maana hata hakimu amewahi kuchomwa sindani hospitali 😀😀 😀
Acha kuiga matamshi, watu wapo smart 😀😀😀
Ataulizwa sindano ya kitu gani aliyokuwa anachomwa Pacome kila siku? Tutasubiri atoe jibu kama ni ya maleria au ya kitu gani.

swali 2: je wewe ndiye daktari wake uliyemwandikia hizo sindano?
swali 3: tunaomba uthibitisho kuwa Pacome alikuwa anachoma hizo sindano ulizozisemea kila siku
 
Kweli utopolo ni vilaza na huyo mwanasheria wao nae pia ni kilaza hapo kashfa iko wapi? ndo maana hawajawahi kushinda kesi yoyote, Ahmedy asiombe radhi aache hiyo defamation iende mahakamani ili ikatupiliwe mbali alafu Ahmedy awadai tena fidia Billion 10 za kumsumbua maana huyo mwanasheria wa yanga ni zaidi ya kiazi
siku hizi JF imevamiwa na viazi mbatata
 
Hii kesi lengo sio kushinda, lengo ni kuwakumbusha SANDALAND hata sisi tunaweza kuwashtaki.

Ahmed Ally na Ally Kamwe wamekuwa wakitoa kauli tata karibu kila siku na maisha ya utani yanaendelea. Imagine Wazee wanaitisha mkutano na waandishi wa habari wanamtuhumu waziwazi GSM anaharibu ligi pasi kuwa na ushahidi.

Tuhuma za match fixing kwenye ulimwengu wa soka ni tuhuma kubwa sana lakini for the sake of utani wa jadi wanaamua kupotezea tu.

SANDALAND amebipu, Yanga wamepiga. Ni katika kukumbushana tu ukishajihusisha na hizi timu jiandae kupokea kebehi za kila aina.
Sandaland na simba ni vitu viwili tofauti
 
swali 2: je wewe ndiye daktari wake uliyemwandikia hizo sindano?
swali 3: tunaomba uthibitisho kuwa Pacome alikuwa anachoma hizo sindano ulizozisemea kila siku
Atasema sindano za malaria, halafu atasema sina uthibitisho kama alikuwa anachoma kila siku. Baada ya hapo utaona kama hukumu yake itazidi sh. milioni moja, ambazo atazilipa kutoka mfuko wa shati. Kwa Ally Kamwe sasa, shughuli ipo!
 
Hawa wasemaji wapewe semina
Wanaropoka ropoka sana. Waelekezwe cha kuongea mbele ya vyombo vya habari
Wewe timu yako imeshinda kwa nini usiongelee ushindi wa timu yako?
Unazindua jezi kwa nini usiongelee ubora wa jezi yako?
 
sijawahi kujiona nakosa kitu kutofuatilia mpira wa bongo.
 
Kweli utopolo ni vilaza na huyo mwanasheria wao nae pia ni kilaza hapo kashfa iko wapi? ndo maana hawajawahi kushinda kesi yoyote, Ahmedy asiombe radhi aache hiyo defamation iende mahakamani ili ikatupiliwe mbali alafu Ahmedy awadai tena fidia Billion 10 za kumsumbua maana huyo mwanasheria wa yanga ni zaidi ya kiazi
Je, Ahmed Ally anaweza kuithibitishia mahakama kuwa Yanga wamekuwa wakimchoma sindano Pacome ili acheze?
 
Atasema sindano za malaria, halafu atasema sina uthibitisho kama alikuwa anachoma kila siku. Baada ya hapo utaona kama hukumu yake itazidi sh. milioni moja, ambazo atazilipa kutoka mfuko wa shati. Kwa Ally Kamwe sasa, shughuli ipo!
Sasa mbona umehitimisha kwa kiasi unachonisikia wewe?
Tunaomba cheti cha utabibu kikionesha kuwa muhusika alichoma sindano za maleria.

Kitendo cha Ahmed kuitaja sindano ya maleria pia ni kitu positive kwa taasisi iliyopeleka hiyo ili wachambuzi na watu wa mpira wajue kuwa hakuna uthibitisho wa kile kinachotuhumiwa Young Africans kuhusishwa nacho. Hii fursa kwenu Simba kuonesha kweli timu ya Young Africans hutumia madawa ya kuongeza nguvu na uzuri ni kwamba klabu inaweza kufungiwa kabisa, hivyo Ahmed Ally asiseme sindano ya maleria bali aseme kabisa kuwa sindano ya kuongeza nguvu.
 
Back
Top Bottom