Klabu ya Yanga imemtaka Ahmed Ally kuomba radhi kwa matamshi wanayodai yameichafua klabu yao (Yanga) na wanadai fidia ya Tsh Bilioni 10

Klabu ya Yanga imemtaka Ahmed Ally kuomba radhi kwa matamshi wanayodai yameichafua klabu yao (Yanga) na wanadai fidia ya Tsh Bilioni 10

Ahmed Ally huwa yuko very smart katika natamshi hasa kuitaja brand. Penye Yanga huwa anasema 'nyuma mwiko', sasa ni kazi ya wanasheria wa Yanga kuthibitisha kwamba Nyuma Mwiko ndio Yanga. Msala upo kwa kamdomo Ally Kamwe, maana yeye alitaja kabisa jina la kampuni kama lilivyo
 
Hapo haihitaji hata uwe msomi sana,ishu zote mbili haztakuwa kesi, mambo yatasoviwa kama ulikuwa ni utani,japo wengi wanaochangia kishabiki humu JF wanatumia mihemuko kila mtu anavutia kwake,kitu wasichokijua watu wengi ni kwamba timu nazo iwe young africans au simba au timu nyingne kuwa nazo ni brands.
 
Ahmed Ally huwa yuko very smart katika natamshi hasa kuitaja brand. Penye Yanga huwa anasema 'nyuma mwiko', sasa ni kazi ya wanasheria wa Yanga kuthibitisha kwamba Nyuma Mwiko ndio Yanga. Msala upo kwa kamdomo Ally Kamwe, maana yeye alitaja kabisa jina la kampuni kama lilivyo
Unajitekenya. Kamwe alilitajaje Jina la Kampuni? Bwana Sandandio kampuni gani? Jitahidi kuficha aibu ya hilo fuvu lako.😀😀😀😀
 
Nilishapiga sana kelele kipindi cha nyuma kuhusu hivi vyeo vya wasemaji wa vilabu kuondolewa, ila TFF wanajifanya kufumba macho na kuziba masikio.

Jukumu la kuvisemea vilabu lingeachwa kwa wahusika wenyewe! Yaani benchi la ufundi (kusemea mambo ya ueanjani na wachezaji), na uongozi (kusemea mambo ya kiutawala).

Binafsi sifurahishwi kabisa na hizi taarabu na vijembe vya kipuuzi vya hao wasemaji waliokosa maarifa, busara na hekima.
 
Ahmed Ally huwa yuko very smart katika natamshi hasa kuitaja brand. Penye Yanga huwa anasema 'nyuma mwiko', sasa ni kazi ya wanasheria wa Yanga kuthibitisha kwamba Nyuma Mwiko ndio Yanga. Msala upo kwa kamdomo Ally Kamwe, maana yeye alitaja kabisa jina la kampuni kama lilivyo
Umesoma maelezo ya Yanga? Au imekurupuka? Pia Ally Kamwe ametaja sanda za kuzikia
 
Mdomo, mdomo, mdomo. Maneno,maneno,maneno ni silaha kali sana. Yanaweza kuua au kuhuisha kutegemea na jinsi yanavyotumika.
 
Ahmed Ally huwa yuko very smart katika natamshi hasa kuitaja brand. Penye Yanga huwa anasema 'nyuma mwiko', sasa ni kazi ya wanasheria wa Yanga kuthibitisha kwamba Nyuma Mwiko ndio Yanga. Msala upo kwa kamdomo Ally Kamwe, maana yeye alitaja kabisa jina la kampuni kama lilivyo
Kamtaja pacome kachoka kuchomwa Sindano. Ataenda mahakamani kutoa maelezo kuwa huyo Pacome anayemuongelea ni mchezaji wa timu gani. Maana anakosa la kuharibu brand ya mchezaji na brand ya taasisi.
 
Kamtaja pacome kachoka kuchomwa Sindano. Ataenda mahakamani kutoa maelezo kuwa huyo Pacome anayemuongelea ni mchezaji wa timu gani. Maana anakosa la kuharibu brand ya mchezaji na brand ya taasisi.
Sawa. Mahakama itatafsiri kama kuchomwa sindani kwa Pacome ni jambo la kuchafua jina la Yanga, maana hata hakimu amewahi kuchomwa sindani hospitali 😀😀 😀
Acha kuiga matamshi, watu wapo smart 😀😀😀
 
Kamwe alikashifu brand ya Sandaland, Ahmedy hajakashifu hapo ili msinde hiyo kesi itabidi kwanza muwashtaki wachambuzi wote wa mpira wanaoiongelea Yanga kwenye media, inaongelewa manchster united sasa utopolo ni nani asiongelewe?
Wewe nimeona ni bwege kweli kweli,,unajua maana ya kukashifu? Je brand ya timu ni ipi? Sindano alizozisema anatakiwa akathibitishe mahakamani pasipokuwa na shaka,,iyo tu ni kuichafua brand ya timu mbele ya umma na wabia wa kibiashara,,Tunaposema utani ubaki kama utani tunakuwa tunamaanisha maana sandaland kaanzisha na kesi yake aina tofauti na iyo ya Ahmed Aly kwa kuwa anasema kaichafua brand yake ivyo na Ahmed Aly kaichafua brand ya yanga!
Tena uyo uwa anaropoka ovyo ovyo bila breki mdomoni,,,
 
Unamshtaki kwa kosa lipi? Kila kosa lina ingredients zake hilo kosa mnalotaka kumshitaki nalo linaenda kutupiliwa mbali halina tija hajakashif chochote
Kwaiyo kosa la Aly kamwe ni lipi? Kitendo cha kusema jezi hazina ubora ndio kosa? Kati ya matamshi ya alys kamwe na Ahmed Aly ni yapi makali zaidi? Unaweza kuthibitisha mahakamani nini maana ya neno sanda? Na linatumiwa wapi? Masuala ya kesheria kama ujui ni Bora unyamaze akuna kesi hapo kwa aly kamwe ni kuchosha watu tu!
 
Kifupi kule brela hakuna timu imesajiliwa kwa jina la "Yanga" ila ni "Young africans sport club" hilo linatosha hakimu kufuta kesi
 
Back
Top Bottom