Klabu ya Yanga imemtaka Ahmed Ally kuomba radhi kwa matamshi wanayodai yameichafua klabu yao (Yanga) na wanadai fidia ya Tsh Bilioni 10

Aya mambo ya kudaiana daina yatakuwa kama yale ya patent kati ya samsung na apple hadi wao ilifika kipindi wakaona kweli ni udwanzi wakaamua achana nayo.
Nadhani yanga wanajibu maana hawa vijana walikuwa wanapigana madongo tu ya kawaida ambayo sometimes anayesikiliza anajua kabisa si kweli tu wanasheherehesha.
Sasa yanini kupelekana mahakamani.
 
Mbumbumbu wachokozi
 
Brela kuna kampuni inaitwa Bwana Sanda? Kabla ya huyo sandaland kuingia ukoloni Nani alkuwa anamjua? Nyie makolo jezi mbovu zimedoda mnatafuta pakufidia sasa hamed alli anatukana wachezaji wa Yanga tena kwa majina kabsa hapo huoni utofauti?
Sanda ni mmiliki wa kampuni ya uuzaji wa nguo, jina lake kamili ni Sanda Omary Yenga. Kwa hiyo Ally Kamwe alitaja kwa uhalisi kabisa wa 100% jina la Mr. Sanda. Hii ni kesi ya Sanda dhidi ya Ally Kamwe, Simba haihusiki
 
Brela kuna kampuni inaitwa Bwana Sanda? Kabla ya huyo sandaland kuingia ukoloni Nani alkuwa anamjua? Nyie makolo jezi mbovu zimedoda mnatafuta pakufidia sasa hamed alli anatukana wachezaji wa Yanga tena kwa majina kabsa hapo huoni utofauti?
Hao waache wapambane na Ali kamwe wakishtuka Yanga bingwa
 
Sawa. Mahakama itatafsiri kama kuchomwa sindani kwa Pacome ni jambo la kuchafua jina la Yanga, maana hata hakimu amewahi kuchomwa sindani hospitali πŸ˜€πŸ˜€ πŸ˜€
Acha kuiga matamshi, watu wapo smart πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€
Ataulizwa sindano ya kitu gani aliyokuwa anachomwa Pacome kila siku? Tutasubiri atoe jibu kama ni ya maleria au ya kitu gani.

swali 2: je wewe ndiye daktari wake uliyemwandikia hizo sindano?
swali 3: tunaomba uthibitisho kuwa Pacome alikuwa anachoma hizo sindano ulizozisemea kila siku
 
siku hizi JF imevamiwa na viazi mbatata
 
Sandaland na simba ni vitu viwili tofauti
 
swali 2: je wewe ndiye daktari wake uliyemwandikia hizo sindano?
swali 3: tunaomba uthibitisho kuwa Pacome alikuwa anachoma hizo sindano ulizozisemea kila siku
Atasema sindano za malaria, halafu atasema sina uthibitisho kama alikuwa anachoma kila siku. Baada ya hapo utaona kama hukumu yake itazidi sh. milioni moja, ambazo atazilipa kutoka mfuko wa shati. Kwa Ally Kamwe sasa, shughuli ipo!
 
Hawa wasemaji wapewe semina
Wanaropoka ropoka sana. Waelekezwe cha kuongea mbele ya vyombo vya habari
Wewe timu yako imeshinda kwa nini usiongelee ushindi wa timu yako?
Unazindua jezi kwa nini usiongelee ubora wa jezi yako?
 
sijawahi kujiona nakosa kitu kutofuatilia mpira wa bongo.
 
Je, Ahmed Ally anaweza kuithibitishia mahakama kuwa Yanga wamekuwa wakimchoma sindano Pacome ili acheze?
 
Atasema sindano za malaria, halafu atasema sina uthibitisho kama alikuwa anachoma kila siku. Baada ya hapo utaona kama hukumu yake itazidi sh. milioni moja, ambazo atazilipa kutoka mfuko wa shati. Kwa Ally Kamwe sasa, shughuli ipo!
Sasa mbona umehitimisha kwa kiasi unachonisikia wewe?
Tunaomba cheti cha utabibu kikionesha kuwa muhusika alichoma sindano za maleria.

Kitendo cha Ahmed kuitaja sindano ya maleria pia ni kitu positive kwa taasisi iliyopeleka hiyo ili wachambuzi na watu wa mpira wajue kuwa hakuna uthibitisho wa kile kinachotuhumiwa Young Africans kuhusishwa nacho. Hii fursa kwenu Simba kuonesha kweli timu ya Young Africans hutumia madawa ya kuongeza nguvu na uzuri ni kwamba klabu inaweza kufungiwa kabisa, hivyo Ahmed Ally asiseme sindano ya maleria bali aseme kabisa kuwa sindano ya kuongeza nguvu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…