SAGAI GALGANO
JF-Expert Member
- Nov 13, 2009
- 47,706
- 69,281
Kama Simba ingekuwa na matumizi naye isingeshindwa kumbakisha kwa dau lolote. Mazuri aliyotufanyia tunamshukuru,na kwa mabaya aliyotufanyia karma itaamua. Aende salama.Sasa hapo ime prove vipi wakati mkataba umeisha na mmembembeleza kwa ela ndogo akaikataa kafuata maslahi sehemu nyingine.
Achana nae huyo MMANG'ATI.Naona mwezi unataka uuanze na kubishana, kila la kheri.
ana utani na mzaha kwenye vitu serious na kucheka cheka tuuMimi katika vyote nasubiri wamuondoe huyu mwehu. Akiongea hua naskia hasira sana.
Chama kiwango kimeshuka?Nilichogundua hawa wachezaji wa kigeni wakishachoka huwa wanakua wajanja. Kazi yao ni kuhama simba kwenda yanga and vice versa ili wachote hela chap chap waende kupumzika kwao kwa kutumia ujinga wa timu hizi mbili.
Mfano mzuri bwana mandevu Morrison
wachezaji wa kigeni wanachota sana pesa hapa TanzaniaKlabu ya Yanga imemtangaza Clatous Chama kuwa mchezaji wa wao leo Jumatatu Julai 1, 2024.
Chama ametangazwa kuwa mchezaji mpya Jangwa baada ya kumaliza mkataba wake na klabu ya Simba, ambayo alijiunga nayo akitokea RS Berkane Januari 2022.
View attachment 3030257
Kumbe simba ndo wamewauzia Yanga?? Kwahiyo yanga wamewapa kiasi gani simba?Mpira wa bongo bwana π€£π€£π€£
Washkaji hua wanashangaa kwanini hua inakua ngumu kwangu kuufuatilia.
Mahasimu wa jadi wanauziana wachezaji? π€£π€£π€£ Hii ipo Tz tu. Na bado huyo mchezaji atasifiwa alipo na alipotoka. Hii ipo mpira wa Tz tu.
Hata usajili wa mkude ulikuwa ni kutukomoa simba na kuwafurahisha mashabiki wa utopoloUsajili wa kuwakomoa Simba na kuwafurahisha mashabiki.
Mimi kama shabiki wa Simba SC, nimefurahi huyu jamaa kuondoka tuanze maisha mapya.
Hahaha kabisaLina raha sana muhimu usiwe na hasira soka la TZ halitaki hasira kabisa
Kifua mbele wap ww em kitulize hukowanayanga tushapata cha kuongelea vijiweni tayar,, yaani kifua mbele
ulisema umebadilikaKifua mbele wap ww em kitulize huko
Binafsi mimi sijapenda usajili wake Yanga, ila sina namba.Klabu ya Yanga imemtangaza Clatous Chama kuwa mchezaji wa wao leo Jumatatu Julai 1, 2024.
Chama ametangazwa kuwa mchezaji mpya Jangwa baada ya kumaliza mkataba wake na klabu ya Simba, ambayo alijiunga nayo akitokea RS Berkane Januari 2022.
View attachment 3030257
Kwa hiyo hujaumia?[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] nilikua natafuta comment yako, na nisingekuona ningekuita hapa.
Haya lete manenoo sasa!! Unakumbuka ulisemajeee? Woiiiiiiih
ππ.kaka kivyovyote vile maisha lazma yaendelee.chama aliondoka akaenda berkane akarudi.Chama anaenda kukushangaza utajiuliza huyu ndio yule alikua anachezea Simba au mwingine?
We fikra zako kubwa. Inatoshasasa kwani mpira ni uadui mpk mahasimu wa jadi wasichukuliane wachezaji...?? mbona kama fikra zako ni ndogo hivi mkuu ..? π
HahahaaaKikubwa ni mwananchi japo jamaa inaonekana kusoma wala kuandika hawezi. Ona alivyoshika peni hapo.
Ila mkifungwa na Chama itauma km pin imepigwa kwenye PutoNa hatuwezi kuumia kuondoka kwa chama
Sasa nibadilike niwe wa kike au πulisema umebadilika
ikiwezekana safi tuSasa nibadilike niwe wa kike au π