ESPRESSO COFFEE
JF-Expert Member
- Sep 6, 2014
- 6,170
- 7,665
Kama Huyu mchezaji alishindwa kuwika kwenye Hii Kaizer Chief Basi Tena
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kuna Mtanzania amewahi kuwika ligi ya South Africa?Kama Huyu mchezaji alishindwa kuwika kwenye Hii Kaizer Chief Basi Tena
Hizo pasi unafikiri huko kaizer alikuwa hapewi?Zile pass za upendo za Sureboy, Dr Aucho, Pass Master Feitoto, Farid Mussa, aisee Kambole atakuwa adui mkubwa wa magolikipa
Yani kuna vitu vingine lazima uweke kiulizo hata kama ni proffesional yake lakini kuna mahali kila mtu anaelewa hii kitu ni fambaKama kocha ndio amemtaka mimi sina neno huenda ana plan naye nyingine, lakini kama amesajiliwa kwa kuwa straiker nadhani ni Ditram Nchimbi mpya huyu.
Ila ukweli utabaki timu za Tanzania hatuna uwezo wa kuvunja mikataba ya top players kwa kutegemea pesa binafsi za GSM na za Mo Dewji, tusiukimbie ukweli huu.
Ndio maana tutarukaruka lakini tukifanikiwa kufika robo fainali ndio utajuwa maana ya quality players na kusajiri ni nini?
Huku mpira sio uwanjani, tunaye white huyu ni mahususi kwa ajili ya kukuza vipaji vya wachezaji sugu ambao wanapitia wakati mbayaKama Huyu mchezaji alishindwa kuwika kwenye Hii Kaizer Chief Basi Tena
Usijitie upofu, Simba na Yanga usajili wao unategemea ufadhili na siyo pesa za club.Yani kuna vitu vingine lazima uweke kiulizo hata kama ni proffesional yake lakini kuna mahali kila mtu anaelewa hii kitu ni famba
Labda kama ni nfugu yake na anampigia connection apate ugali
Au labda kaona hatakuwa na madhara ya kui cost timu kwakua tayari mkononi ana wachezaji wengine bora kama backup
Na ndio maana wamekuja na tahadhari kwa kumsainisha mkataba wa miezi 6 kama fremu ya biashara.
Siku anayomaliza mkataba itaonekana kama ni mpangaji aliyepewa notsi na mwenye nyumba.
Ishu ya kuvunja mikataba top prayers ni kutokana na ulafi wa viongozi wetu. Kama unaweza kuuza mchezaji kwa gharama inayokaribiana na top player unayemtaka kwanini usitumie pesa hiyo hiyo au kuongeza kiasi kingine kidogo kununua top players?
Sahihi kabisaUsijitie upofu, Simba na Yanga usajili wao unategemea ufadhili na siyo pesa za club.
Utahoji pesa za Chama na Luis na wenye timu yao watakupa bajeti ya timu season nzima inatafuna pesa kiasi gani.
Imagine kama Yanga ile kambi tu ya Avic town ni mali ya GSM club haitumii pesa ya kambi ikiwa Dar.
Tupige tu porojo humu kwa sasa mustakabari wa hizi timu za kariakoo zinategemea hisani ya Mo Dewji na GSM tu. Ukweli ndio huo.
Weka naza Moses phiri mkuu
Na tukifika huko utapasuka hasiraNa hapo bado hamjafika hata group stage
Mshambuliaji miaka miwili kiwanjani una goli mbili (tena uskiute zote za penati)
Na yanga ilivyo na mbwembwe wamemtambulisha wakiwa wamemvika na kijora
Imagine hizo ni goli 2 lakini na kijora kavishwa
Ebu fikiria angekuwa na goli kumi tu hali ingeluwaje kwenye utambulisho wake?
Walichofanya Kaizer kinatakiwa fanywa na SimbaMshambuliaji hatari angeanzaje kutemwa na club yake ambayo imecheza mpaka fainali?
Bila shaka kaizer chiefs wamegundua ipo sababu ya wao kushindwa kuchukua kombe kwenye fainali ya CAF federation a sababu hiyo imechangiwa na wimbi la wachezaji mizigo
Timua timua ya kutafuta mchawi nani imeanza. Sasa kila mchezaji ambaye alionekana kimeo ametimuliwa, ajabu kuna timu nyingne inakuja kumpokea na kumpa sifa tele ambazo naamini hata kaizer watakuwa wanashangaa
Mpira ni tofauti na vitu vingine chief labda uwe sio mfatiliaji sana wa hizi mambo, wachezaji wengi sana wanafeli team wanazosajiliwa lakini haimaanishi ni wabovu..Mshambuliaji hatari angeanzaje kutemwa na club yake ambayo imecheza mpaka fainali?
Bila shaka kaizer chiefs wamegundua ipo sababu ya wao kushindwa kuchukua kombe kwenye fainali ya CAF federation a sababu hiyo imechangiwa na wimbi la wachezaji mizigo
Timua timua ya kutafuta mchawi nani imeanza. Sasa kila mchezaji ambaye alionekana kimeo ametimuliwa, ajabu kuna timu nyingne inakuja kumpokea na kumpa sifa tele ambazo naamini hata kaizer watakuwa wanashangaa
Umeongea ukweli mkuu.Usijitie upofu, Simba na Yanga usajili wao unategemea ufadhili na siyo pesa za club.
Utahoji pesa za Chama na Luis na wenye timu yao watakupa bajeti ya timu season nzima inatafuna pesa kiasi gani.
Imagine kama Yanga ile kambi tu ya Avic town ni mali ya GSM club haitumii pesa ya kambi ikiwa Dar.
Tupige tu porojo humu kwa sasa mustakabari wa hizi timu za kariakoo zinategemea hisani ya Mo Dewji na GSM tu. Ukweli ndio huo.
Haji Manara asiturithishe chuki zake na ugomvi wake na Simba amalizane nao binafsi bila kutumia brand ya Yanga.Yanga ina kocha mwenye balaa kubwa na fomesheni ya hatari sana hata kama hujui kucheza vizuri na hujafunga goli hata moja msimu mzima kama Boko, Mugalu na Kagere ila ukipata training ya Nabi wiki tu balaa lako si la nchi hii. Kambole atakuja kuwapasua Mikia FC aka Makolo!!
Prof Nabi hata ukimpa "Ubelgiji FC" ya ndondo wiki moja tu ikija Simba wanaipasua! !
Fomesheni ya Yanga dhidi ya Mikia kule CCM Kirumba ni kali kuliko fomesheni za Real Madrid!
Simba haitotoboa hadi imuombe msamaha Hajji Manara kuna kitu we Young Africa fans do not know mmemfanyia Hajji na hamkisemi halafu jamaa ana nongwa kinoma na ana upepo flani , mtakoma!!
Usajili wa mchezaji una mambo mengi mkuu na ndio maana inaitwa bahati nasibu. Unaweza ukachukua mchezaji top scorer lakini akaja kuwa wa kawaida tu. Au unaweza ukachukua mchezaji ambaye ni rejected lakini wakaja kuwa msaada mkubwa kwenye timu. Chochote kinaweza kutokea kwenye usajili. Nadhani mifano halisi utakuwa unayo kama ni mfuatiliaji na mpenzi wa mpira wa miguu. Usajili ni kamari mkuuMshambuliaji miaka miwili kiwanjani una goli mbili (tena uskiute zote za penati)
Na yanga ilivyo na mbwembwe wamemtambulisha wakiwa wamemvika na kijora
Imagine hizo ni goli 2 lakini na kijora kavishwa
Ebu fikiria angekuwa na goli kumi tu hali ingeluwaje kwenye utambulisho wake?
Ndio maana George Mpole ni kama vile watu hawamuoni, walishajifunza kwa Salamba na Ditram Nchimbi.Usajili wa mchezaji una mambo mengi mkuu na ndio maana inaitwa bahati nasibu. Unaweza ukachukua mchezaji top scorer lakini akaja kuwa wa kawaida tu. Au unaweza ukachukua mchezaji ambaye ni rejected lakini wakaja kuwa msaada mkubwa kwenye timu. Chochote kinaweza kutokea kwenye usajili. Nadhani mifano halisi utakuwa unayo kama ni mfuatiliaji na mpenzi wa mpira wa miguu. Usajili ni kamari mkuu
Kwahuyo sahau mkuu, mswahili ni mswahili tu. Binafsi nilivyoona kaletwa Yanga nilichukizwa na ujio wake na sioni namna ya kubadilika. Pengine hao matajili ndio wanapenda kusikia mambo ya namna hii.Haji Manara asiturithishe chuki zake na ugomvi wake na Simba amalizane nao binafsi bila kutumia brand ya Yanga.
Hao matajili GSM wamwambie waziwazi tupo wana Yanga ambao tunachukizwa na hatupendi press za Yanga kuwaongelea Simba hata kwq mafumbo.
Tunahitaji press inayoongelea habari za Yanga, lich ya furaha ya ubingwa deni kubwa ni mechi za kimataifa ambazo tumekuwa tukifanya vibaya na tukipangiwq Waarabu unahesabu wazi tumeshatolewa.
Hebu tujikite kwenye hili.
Mpira ni uwanjani na sio maneno maneno na mipasho ya kikekike, kama yanga wamepigwa si itaonekana uwanjani kwani shida nini? Yule miksoni alivyoferi south africa akarudishwa ud songo kwa mkopo alikuwa mbaya? Mbona alienda akakiwasha upya? Yule morrison aliyeokotwa mitaani mbona alikuja akakiwasha hapa? Kuweni na akiba ya maneno na msiishi kwa kukariri eti kwa kuwa ameferi afrika kusini basi sio mchezaji mzuri, aujui ata mazingira wanayokutana nayo awa wachezaji anapohamia ligi nyingine kuna changamoto nyingi sana, Kwangu mimi ninahamini kambole anaenda kurudi kwenye moto wake ni suala la muda tu na mtayafuta maneno yenuMshambuliaji miaka miwili kiwanjani una goli mbili (tena uskiute zote za penati)
Na yanga ilivyo na mbwembwe wamemtambulisha wakiwa wamemvika na kijora
Imagine hizo ni goli 2 lakini na kijora kavishwa
Ebu fikiria angekuwa na goli kumi tu hali ingeluwaje kwenye utambulisho wake?