Klabu ya Yanga imetangaza kumsajili mshambuliaji hatari Lazarus Kambole

Klabu ya Yanga imetangaza kumsajili mshambuliaji hatari Lazarus Kambole

Wachezaji wa aina hii ndio wanaosababisha maafa siku ya Derby ya Watani. Maana unamwona wa kawaida sana akikutungua unazimia! Refer Morrison majina aliyokuwa anaitwa aliposajiliwa Yanga, mara mwizi wa magari hajui mpira mara anajua kupanda mpira kucheza hajui. Kilichotokea baadaye sote tunajua, aliwapiga Simba goli la kikatili halafu baadaye akasimisha nchi na FIFA (through CAS). Zaidi alikuja kuwa ndiye mkombozi wa Simba inapofeli plan zote uwanjani iwe kwelnye ligi ya Bongo au mechi za CAF. Tumpe muda Bw. Kambole!
kwa hiyo mmemsajili kwa ajili ya mechi za derby?
 
Mpira ni uwanjani na sio maneno maneno na mipasho ya kikekike, kama yanga wamepigwa si itaonekana uwanjani kwani shida nini? Yule miksoni alivyoferi south africa akarudishwa ud songo kwa mkopo alikuwa mbaya? Mbona alienda akakiwasha upya? Yule morrison aliyeokotwa mitaani mbona alikuja akakiwasha hapa? Kuweni na akiba ya maneno na msiishi kwa kukariri eti kwa kuwa ameferi afrika kusini basi sio mchezaji mzuri, aujui ata mazingira wanayokutana nayo awa wachezaji anapohamia ligi nyingine kuna changamoto nyingi sana, Kwangu mimi ninahamini kambole anaenda kurudi kwenye moto wake ni suala la muda tu na mtayafuta maneno yenu
Mngekuwa hampendi maneno ya kike kike msinge msajili manara dirisha dogo

Mi nacho jiuliza kwanini mmemsainisha mkataba wa pango kama expectation yenu ni vitu vikubwa?

Hao unaowataja kuwa walifeli hawajawahi kuwa na record mbovu ya goli 2 kwa miaka miwili

Na hayo magoli ya kambale hatujatafiti tu kiundani huwenda aliyapata kwenye mechi na timu kama Ken Gold
 
Bora Wawa kuliko huyu galasa, yaani msimu mzima striker ana goli 1 ahahahhaha
 
Usajili wa mchezaji una mambo mengi mkuu na ndio maana inaitwa bahati nasibu. Unaweza ukachukua mchezaji top scorer lakini akaja kuwa wa kawaida tu. Au unaweza ukachukua mchezaji ambaye ni rejected lakini wakaja kuwa msaada mkubwa kwenye timu. Chochote kinaweza kutokea kwenye usajili. Nadhani mifano halisi utakuwa unayo kama ni mfuatiliaji na mpenzi wa mpira wa miguu. Usajili ni kamari mkuu
Bahati na sibu sio kipaumbele na ndio maana tunaangalia statistics

Ingekuwa ndio hivyo basi hata wachezaji wabovu wangepewa nafasi kwa hoja ya kwamba ni bahati nasibu.

Huyu jamaa tuache utani ebu tuongee ukweli tuache mapenzi, inawezekanaje mshambuliaji miaka miwili ukawa na goli 2 kwenye kikosi chenye wachezaji bora?
 
Wakili Kambole ndani ya nyumba
FB_IMG_1655450876377.jpg
 
Yanga ina kocha mwenye balaa kubwa na fomesheni ya hatari sana hata kama hujui kucheza vizuri na hujafunga goli hata moja msimu mzima kama Boko, Mugalu na Kagere ila ukipata training ya Nabi wiki tu balaa lako si la nchi hii. Kambole atakuja kuwapasua Mikia FC aka Makolo!!

Prof Nabi hata ukimpa "Ubelgiji FC" ya ndondo wiki moja tu ikija Simba wanaipasua! !

Fomesheni ya Yanga dhidi ya Mikia kule CCM Kirumba ni kali kuliko fomesheni za Real Madrid!

Simba haitotoboa hadi imuombe msamaha Hajji Manara kuna kitu we Young Africa fans do not know mmemfanyia Hajji na hamkisemi halafu jamaa ana nongwa kinoma na ana upepo flani , mtakoma!!
Mmesajili mkaa benchi mwenye goli 2 misimu miwili acha mboyoyo
 
Chico Ushindi kwa mbaaaali nimeanza kumuelewa, itakuwa alikuwa majeruhi wa muda mrefu. Ana ball balance nzuri sana, mwili anao apunguze papara ambazo kwa mbaali nimeanza kuona akizinguza
Chico ni mzuri kuliko Moloko
 
Mpira ni tofauti na vitu vingine chief labda uwe sio mfatiliaji sana wa hizi mambo, wachezaji wengi sana wanafeli team wanazosajiliwa lakini haimaanishi ni wabovu..

hii iko kote kote sio kwetu tu huku nchi za ulaya pia naweza kukupa mifano mingi sana ya hizi issue kama ukitaka kunakuwa na factors nyingi sana, mfano Luís Miquissone unajua amecheza match ngap pale Al Ahly? Ana magoal mangap? Sasa relate na moto aliowasha hapa bongo same na kwa Chama mpaka akaamua kurudi, mpira haupo hivo mzee
Kwa kambale hapana mzee hii ni record moja mbovu sana

Miquioson alitia kamba mbili kwenye mechi moja tena mechi ambayo ilikuwa ngumu lakini kambale alihitaji miaka miwili kufikisha idadi hiyo
 
Hii striker tishio ndio hatutaki huu uongo, haiwezekani striker tishio msimu mzima goli 1, labda mseme tishio wa sura
Nikama Chama tu,Tz anaabudiwa ila alipokuwa RS Berkane alikuwa anabeba jezi za wenzake, level ya ligi nayo inasadifu, mchezaji anaye kaa benchi Ligi ya Africa Kusini, hawezi kuwa sawa na mchezaji anayeanza kikosi cha Mbeya city
 
Waliosajili ni yanga nafikiri ata kama wameuziwa mbuz kwrnye gunia wewe aikuusu, waliotoa pesa ni yanga, aliyempendekeza ni kocha wa yanga, anayemlipa mshahara ni yanga ivyo sioni huu mjadala kama una afya yoyote zaidi ya kupotezeana muda hapa, ukizingatia bado ajaonyesha huo ubovu wake kwenye ligi yetu, bahati nzuri mpira unachezwa hadharani kama ni mbovu ataonekana tu kwani shida nini, atuwezi kumuhukumu mtu kwa historia yake ya nyuma mpaka tujiridhishe kwa vitendo na sio porojo za kwenye vijiwe vya kahawa
Sema hivi wanaosajili ni gsm na wanaolipa mshahara ni gsm
Uto hamna pesa za kusajili chupli chupli sana
 
Morrison alifukuzwa kwa mambo binafsi ya nje ya uwanja, sio huyo mkaa benchi mwenye goli 1 la dawa msimu mzima
Kwahiyo mtu kukaa bench maana yake si mchezaji mzuri Kwa uelewa wako? Unadhani hapo Kaizer alipelekwa tu na mjomba yake?
 
Back
Top Bottom