Waliosajili ni yanga nafikiri ata kama wameuziwa mbuz kwrnye gunia wewe aikuusu, waliotoa pesa ni yanga, aliyempendekeza ni kocha wa yanga, anayemlipa mshahara ni yanga ivyo sioni huu mjadala kama una afya yoyote zaidi ya kupotezeana muda hapa, ukizingatia bado ajaonyesha huo ubovu wake kwenye ligi yetu, bahati nzuri mpira unachezwa hadharani kama ni mbovu ataonekana tu kwani shida nini, atuwezi kumuhukumu mtu kwa historia yake ya nyuma mpaka tujiridhishe kwa vitendo na sio porojo za kwenye vijiwe vya kahawa