Klabu ya Yanga inaongozwa ovyo ovyo sana!

Freyzem

JF-Expert Member
Joined
Jun 29, 2013
Posts
10,120
Reaction score
24,667
Kufuatia taarifa iliyotolewa na TFF inaonyesha Club ya Yanga haiafanya usajili wa wachezaji kwa msimu wa 2023/24.

Mashabiki wasiojitambua wametetea club ya Yanga kwa kutoa hoja dhaifu eti muda bado upo, mara sijui strategy na blah blah kibao!

Wengine sijui watasajili wale walioiva n.k!

Tunajiuliza kwani wachezaji waliotangazwa kwenye page zao hawawaamini?

Je, wale waliokuwa nao msimu uliopita ambao hawajamaliza mikataba na hawana mpango wa kuwaacha inakuwaje wasiwe kwenye data base hadi muda ambao TFF wametoa list ya Club zilizosajili?

Wanaona kuchelewa kusajili ni ujanja na akili siyo? Kwa hiki walichokifanya viongozi wa Yanga ni uzembe wa hali ya juu!

Hata kama bado siku za kukamilisha zimebaki nyingi, ilitakiwa wake wachezaji waliotangazwa kwenye page zao na wale wanaoendelea na mikataba yao wawe wameingizwa kwenye data base za mamlaka husika!

Hili la Yanga kuchelewesha usajili si suala la kushangilia!
 
Mada ya ksenge inaumiza kichwa ukiisoma umelewa mifumo
 
Deadline ni lini? Kuna Klabu imesajili wachezaji chini ya kumi unadhani ndiyo imetoka hiyo.
Yanga wapo sahihi kabisa kuchelewesha majina.
Yatapelekwa majina sahihi
 
ni mawazo yako yako hovyo hovyo sana

Sent from my CPH2371 using JamiiForums mobile app
 
Uwe unakula kwanza kabla ya kupuliza hiyo mibangi yako.
 
Huuu uzi wako ni wa kipuuzi sana maaana ningekuona wa maaana sana kufuatilia mambo yanayohusiana na timu yako acha nyege isikutawale
 
Punguza makasiriko kaka, dont stress your self that much. Kwani dirisha la usajili limeshafungwa? Au tueleze kuna siku ngapi zimesalia! Chuki dhidi ya mafanikio ni kidonda bro, calm down. Viva Young Africans.

Mimi sina chuku na yanga, nimeeza kilichotokana na taarifa ya TFF!
Ishu ya kuuliza zimebaki siku ngapi, hui ni ufinyu wa akili! Hata zingebaki siku 1000, ni uzembe kuona ni sawa timu kutokusaji mchezaji hadi hivi sasa kwa kigezo kuwa zimebaki siku nyingi!
Wewe unayetetea walichokifanya Yanga unafaa kuitwa Parata!
 
Deadline ni lini? Kuna Klabu imesajili wachezaji chini ya kumi unadhani ndiyo imetoka hiyo.
Yanga wapo sahihi kabisa kuchelewesha majina.
Yatapelekwa majina sahihi

Kama kuna club imesajilinwachezaji chini ya 10, ndio iwe sababu ya yanga kutokusajili hata mmoja?
Usahihi wa Yanga kuchelewesha majina ni upi?
Unaposema yatapelekwa majina sahihi ina maana Yanga haina majina sahihi ya wachezaji wake tokea dirisha la usajili lifunguliwe hasa wale wanaoendela na mikataba yao?
Mimi naona ungeficha upumbavu wako kwa kukaa kimya tu, maana hata maswali niliyokuuliza sidhani kama una uwezo wa kuyajibu kwa akili zako finyu!
 
Huuu uzi wako ni wa kipuuzi sana maaana ningekuona wa maaana sana kufuatilia mambo yanayohusiana na timu yako acha nyege isikutawale

Hii comment yako ndio ya kipuuzi zaidi, pengine ungeshughulikia nyege zako binafsi ama unahitaji wa kuzitoa dada?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…