Freyzem
JF-Expert Member
- Jun 29, 2013
- 10,120
- 24,667
Kufuatia taarifa iliyotolewa na TFF inaonyesha Club ya Yanga haiafanya usajili wa wachezaji kwa msimu wa 2023/24.
Mashabiki wasiojitambua wametetea club ya Yanga kwa kutoa hoja dhaifu eti muda bado upo, mara sijui strategy na blah blah kibao!
Wengine sijui watasajili wale walioiva n.k!
Tunajiuliza kwani wachezaji waliotangazwa kwenye page zao hawawaamini?
Je, wale waliokuwa nao msimu uliopita ambao hawajamaliza mikataba na hawana mpango wa kuwaacha inakuwaje wasiwe kwenye data base hadi muda ambao TFF wametoa list ya Club zilizosajili?
Wanaona kuchelewa kusajili ni ujanja na akili siyo? Kwa hiki walichokifanya viongozi wa Yanga ni uzembe wa hali ya juu!
Hata kama bado siku za kukamilisha zimebaki nyingi, ilitakiwa wake wachezaji waliotangazwa kwenye page zao na wale wanaoendelea na mikataba yao wawe wameingizwa kwenye data base za mamlaka husika!
Hili la Yanga kuchelewesha usajili si suala la kushangilia!