KLM Royal Dutch Airlines: Bonge la ndege

Mkuu mi napenda Sana kupanda pipa. Niliwahi kwenda Cape town kwa Ethiopian airlines (masaa 3 Dar-Addis then tukakwea Addis-Cape town masaa 5. Full misosi!
 
Mi nshapanda zote hizo, almost 3*each,
So I know ninachokisema, labda kama mambo yamebadilika kipindi hiki cha COVID -19, maana ndo sitatoka nje ya EA.
 
Mi nshapanda zote hizo, almost 3*each,
So I know ninachokisema, labda kama mambo yamebadilika kipindi hiki cha COVID -19, maana ndo sitatoka nje ya EA.

Inawezekana wameyumba labda, na i hope huongelei experience ya business class
 
Halafu sasa ukute ni ile kitu inaitwa Boeing MC Douglass, nadhani ndiyo ile ina tairi tatu tatu kwenye miguu katika kila mguu. Kwa hilo dude, huyu unayemuona hapa ni cha mtoto
Mkuu una uhakika na ulichoandika?
 
Kweli wewe mshamba hili zigo mbona tunalo jro na Jnia kila siku 22:45 hadi 23:00?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…