connections
JF-Expert Member
- Apr 27, 2013
- 2,190
- 3,039
KLM aisee wanajielewa kitamboHakuna kitu hapo mbele ya Emirates!
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
KLM aisee wanajielewa kitamboHakuna kitu hapo mbele ya Emirates!
Niliacha kitambo vile vile kupanda hizo ndege zao.KLM aisee wanajielewa kitambo
Tutafute pesa. Akaunti ikiwa imetuna unaamua tu uende popotePipa Ni rahaaa
Stori za vilingeni hiziKwa uzoefu wangu mdogo hili pipa klm hupaa saa 5 za usiku kuelekea Dar via Zanz.
Kuna wakati usipinge kitu bila hoja.Stori za vilingeni hizi
GaniMajuzi nilipata mchongo wa kwenda US -Chicago. Wenyeji wakanikatia tiketi KLM aisee mzinga wa ndege. niwe mkweli Sijawahi kupanda ndege Kama ile. Japo enzi za fastjet niliwahi kwenda Dar na kurudi tu. Tembea uone. Ushamba tupa kule.
View attachment 2212929
Nadhani kuna kipindi KQ waliwauzia shares pia. Hawa jamaa wana bahati kwamba uwanja wao wa Amsterdam Schiphol ni connection hub ya dunia nzima. Amsterdam ni kiwanja ambacho ndege za kuelekea karibia mahali popote duniani zipo
Hata ma bus , inshort tuseme kila kitu ni mfuko wako tu leo hii naweza agiza zhongtong climber yenye siti 1 by 1 au kawaida 2 by 2 leather seats😂😂😂 uzuri wa ndege ndani inategemeana na operatoe atakavyo order ndegenyakeniwe irembwe vipi ndani, mfano naonaga unaweza ukakuta ndegenlabda B787 -8 ya ET ndani ipo sple ila ndege iyo iyo ila shirika la Singapore airline ndege zao ndani zipo vizuri ndani..
Tafuta pesaStori za vilingeni hizi
Pesa ndo ishuKupaa raha
Mzungu si mwenzetuKLM Ina miaka 100 kwenye game
Yaani kutoka fastjet Hadi KLM ni sawa na ulitokea kupanda Toyota DCM zile za Mbagala Rangi 3 kwenda Kawe alafu upande Shabby luxury Dar to Dodoma. Lazima ushangae mkuuMajuzi nilipata mchongo wa kwenda US -Chicago. Wenyeji wakanikatia tiketi KLM aisee mzinga wa ndege. niwe mkweli Sijawahi kupanda ndege Kama ile. Japo enzi za fastjet niliwahi kwenda Dar na kurudi tu. Tembea uone. Ushamba tupa kule.
View attachment 2212929