KLM Royal Dutch Airlines: Bonge la ndege

KLM Royal Dutch Airlines: Bonge la ndege

Nauli bei gani? Ilianzia safari wapi ..vituo ni wapi na wapi
Majuzi nilipata mchongo wa kwenda US -Chicago. Wenyeji wakanikatia tiketi KLM aisee mzinga wa ndege. niwe mkweli Sijawahi kupanda ndege Kama ile. Japo enzi za fastjet niliwahi kwenda Dar na kurudi tu. Tembea uone. Ushamba tupa kule.

View attachment 2212929
Gani
 
Amstadam ni kama singidani
Nadhani kuna kipindi KQ waliwauzia shares pia. Hawa jamaa wana bahati kwamba uwanja wao wa Amsterdam Schiphol ni connection hub ya dunia nzima. Amsterdam ni kiwanja ambacho ndege za kuelekea karibia mahali popote duniani zipo

😂😂😂 uzuri wa ndege ndani inategemeana na operatoe atakavyo order ndegenyakeniwe irembwe vipi ndani, mfano naonaga unaweza ukakuta ndegenlabda B787 -8 ya ET ndani ipo sple ila ndege iyo iyo ila shirika la Singapore airline ndege zao ndani zipo vizuri ndani..
Hata ma bus , inshort tuseme kila kitu ni mfuko wako tu leo hii naweza agiza zhongtong climber yenye siti 1 by 1 au kawaida 2 by 2 leather seats
 
ulichoona ch ajabu amabacho hakipo Kenya/rwanda/South.A air ways ni nini??........ hayo sawa na ma bus tu! hkn jipya!
 
Majuzi nilipata mchongo wa kwenda US -Chicago. Wenyeji wakanikatia tiketi KLM aisee mzinga wa ndege. niwe mkweli Sijawahi kupanda ndege Kama ile. Japo enzi za fastjet niliwahi kwenda Dar na kurudi tu. Tembea uone. Ushamba tupa kule.

View attachment 2212929
Yaani kutoka fastjet Hadi KLM ni sawa na ulitokea kupanda Toyota DCM zile za Mbagala Rangi 3 kwenda Kawe alafu upande Shabby luxury Dar to Dodoma. Lazima ushangae mkuu
 
Back
Top Bottom