muhomakilo jr
JF-Expert Member
- Jul 28, 2013
- 15,301
- 13,858
Namkumhuka mzee Gama aliyekuwa RC alikuwa mtu wa Boli sana, alijitoa na wana Tabora walijitoa! , viongozi wa sasa wameshindwa kukisimamia.Ali Hassan mwinyi kilikua na samaki wa mapambo mule pembeni,waliochoka kula matembele wakapita nao.
Kinondoni municipal council ni watu na watu wenyewe ndio nyie na ndio tunaowapongeza Wana kinondoni wote kuanzia magomeni na viunga vyake hadi biafra na kaweHakuna haja ya kuwasifia KMC tujisifu sisi wenyewe kwa sababu hizo ni kodi zetu sisi wananchi wa Kinondoni ndo zimejenga hapo
Siku hizi maktaba ni simu yako. Kitabu chochote ukikitaka unakipata
Msiwe malimbukeni wa teknolojia kiasi cha kuhisi mnazijua kuliko waliozianzisha. Fikirieni kwa upana na urefu faida za kuwa na maktaba kila kata.Kweli kabisa na unasoma popote hata kitandani kabla hujaamka unajipa maarifa kidogo unaenda room ya mtoto nae unamsomea hadithi yake Kisha unaenda mishe
Mbona we ndie unaonesha ulimbukeni braza mjadala uko katika lugha ya kawaida unaweza tumia lugha ya kawaida kuwasilisha mawazo yakoMsiwe malimbukeni wa teknolojia kiasi cha kuhisi mnazijua kuliko waliozianzisha. Fikirieni kwa upana na urefu faida za kuwa na maktaba kila kata.
Kichwani kwakeHuo uwanja uko wapi
Mbona ulimbukeni ni neno la kawaida tu labda kama haufahamu tafsiri yake. Kupinga ujenzi wa maktaba tena kwa nchi kama hii ambayo wanafunzi wana uhaba wa vitabu mashuleni, kuna uhaba wa walimu na ukizingatia asilimia ambayo wazazi achilia mbali watoto wana simu janja na ufahamu wa wapi pa kupata hivyo vitabu, mko out of touch kabisa na uhalisia wa maisha ya Watanzania kusema wanafunzi wapakue vitabu online.Mbona we ndie unaonesha ulimbukeni braza mjadala uko katika lugha ya kawaida unaweza tumia lugha ya kawaida kuwasilisha mawazo yako
UmeshindaMbona ulimbukeni ni neno la kawaida tu labda kama haufahamu tafsiri yake. Kupinga ujenzi wa maktaba tena kwa nchi kama hii ambayo wanafunzi wana uhaba wa vitabu mashuleni, kuna uhaba wa walimu na ukizingatia asilimia ambayo wazazi achilia mbali watoto wana simu janja na ufahamu wa wapi pa kupata hivyo vitabu, mko out of touch kabisa na uhalisia wa maisha ya Watanzania kusema wanafunzi wapakue vitabu online.
Na kama hamjui maktaba ni zaidi ya vitabu, kama ambavyo uwanja ni zaidi ya pitch. Kuna mambo mengi yenye faida yanaweza kufanyika katika mazingira ya maktaba kuanzia mafunzo ya ziada ya ujuzi ambayo wanafunzi hawayapati mashuleni kwa sababu hayapo katika silabasi zao, discussions kati ya wanafunzi wenyewe, mafunzo ya ziada yaani tuition, nk.
Hua mnanichokoza wenyewe nikianza kuwamwagia mitusi mnaenda kumshtaki kwa Maxence MeloUnakitaka kichwa shoger mzoefu
Sina haja ya kushtaki mtu kama weweHua mnanichokoza wenyewe nikianza kuwamwagia mitusi mnaenda kumshtaki kwa Maxence Melo
Sasa ndio unitukane bila sababu?Sina haja ya kushtaki mtu kama wewe
Picha ya uwanja IPO kwenye post zilizopita ningeweza kumuelekeza kabla hujaleta kebehi
Huo uwanja uko wapi