Benjamini Netanyahu
JF-Expert Member
- Aug 7, 2014
- 95,871
- 116,627
Hawa hapana mkuu hawana jipya, sema kipi cha maana wameongea?Hujawatendea haki!, tujenge utamaduni wa kusikiliza kwanza ndipo tuchangie. Mtu kama Jussa, Kibamba, Hamad Rashid, Selasini kuwaita chawa sio kuwatendea haki!.
P
Mkuu mi nafuatilia sn siasa zetuTunatofautiana kwenye viwango.
Kipindi ni 30 min, ili kurahisisha nikaweka short clips ili kila mtu atazame. Wazungumzaji niHawa hapana mkuu hawana jipya, sema kipi cha maana wameongea?
Nimesikiliza sijaona jipya, kilichopitishwa bungeni na story hizi ni vitu viwili tofauti kabisaKipindi ni 30 min, ili kurahisisha nikaweka short clips ili kila mtu atazame. Wazungumzaji ni
View: https://youtu.be/l7apUkgY3IA?si=Ve5pLjxStJQuXhzD
View: https://youtu.be/EUukQ7DiTYw?si=qtoMiVazesdgyM__
View: https://youtu.be/yy8bq2PnZwc?si=ZEy_RZLAwfjb5-Jr
View: https://youtu.be/cHxuVN8njWM?si=-ouehGdq8HTCG_Cp
View: https://youtu.be/Li8Yu29CwV4?si=1IXGSRSLy4tgH2qQ
View: https://youtu.be/TrUw1PZqiKY?si=QQ_t6NWxB9C3oHoL
View: https://youtu.be/h3TFKlNHV98?si=TfTyMqBGvkYDmr3u
View: https://youtu.be/w0WiYIr1t90?si=adEW3mxaa_n9AtEB
View: https://youtu.be/2Iw3KXte-2c?si=EMQmp1HNbgw6cj6dP
Angalia hoja za kipindiNimesikiliza sijaona jipya, kilichopitishwa bungeni na story hizi ni vitu viwili tofauti kabisa
Je sasa umeelewa kitu?.KMT kinaendeshwa kwa mtindo wa Vox Pop, kwa imani kuwa Vox Populi is Vox Dei!, kauli ya wengi ni kauli ya Mungu na Kauli huumba, kipindi kinatoa fursa ya ku consolidates kupaza sauti ya wengi kuhusu jambo lolote la kisiasa, kiuchumi na kijamii kuhusu taifa letu, ili suati hizo, ziliumbe hilo jambo.
Kwa vile kauli ya wengi ni kauli ya Mungu, natoa wito kwa viongozi wetu, sikilizeni sauti hizi za wengi, wanataka nini, wengi wape!, kwa vile sauti za wengi ni sauti ya Mungu, nawasihi sana viongozi wetu wasikilizeni watu, watu wengi wakisema wanataka nini, ni Mungu amesema!, wasiposikilizwa, ni Mungu hakusikilizwa!, hivyo ikitokea wasiposikilizwa, what will happen msije kutulilia humu kuwa huwakujua!...
Mwenye Masikio na Asikie!
Jumatatu Njema.
Paskali
Useless and hopeless ni mkuu wa kaya, amefeli mbaya sana.Tanesco ni hasara kwa taifa letu, completely useless and hopeless
Mkuu point ni ipi hapo?Angalia hoja za kipindi
Je sasa umeelewa kitu?.
P
Jee umeisha wahi kujua au kusikia kitu kinachoitwa "Vox Pop" ni nini na ni ya kazi gani?.Mkuu point ni ipi hapo?
Sijawahi, kwanini mkuu kipindi chako kinakusanya chawa pekee? mi nataka uendeshe mdahalo wa wazi uhusishe akina Lissu, Kinana, Mnyika, Nchimbi n.k ambao wanaweza kushindana kwa hojaJee umeisha wahi kujua au kusikia kitu kinachoitwa "Vox Pop" ni nini na ni ya kazi gani?.
P
Ili ufaidike vizuri zaidi na JF, likiletwa jambo ambalo hulijui, take advantage ya kujifunza!.Sijawahi,
Changamoto una wahoji makada wa CCM pekee, kuwa huru uoji wananchi ambao wanapata tabu na huu utawala mbovuIli ufaidike vizuri zaidi na JF, likiletwa jambo ambalo hulijui, take advantage ya kujifunza!.
1. Hiki ni kipindi cha Vox Pop
2. Vox Pop ni sauti za watu
3. Vox Populi is Vox Dei maana yake sauti za wengi ni sauti ya Mungu.
4. Kauli huumba. Kipindi kinakusanya kauli za watu ili kuumba kile watu wanachokitaka.
5. Pia nikaweka na angalizo, wasiposikilizwa what will happen.
Hayo ni maoni ya watu sio lazima mimi au wewe nikubaliane nao, kitu muhimu ni sauti zao zimesikika.
P
Sii kweli, Tanzania tuna vyama 19, nimewahoji vyama mbalimbali, isipokuwa Chadema kwasababu walisusa! Kuna watu wasipo waona Chadema, wanawaona wengine wote kama machawa!. Vipindi vijavyo nitawahusisha na Chadema.kwanini mkuu kipindi chako kinakusanya chawa pekee?
Sii kweli!.Changamoto una wahoji makada wa CCM pekee, kuwa huru uoji wananchi ambao wanapata tabu na huu utawala mbovu
Huu ni ushauri mzuri, utafanyiwa kazi, but this something else, kipindi changu ni Vox pop, mdahalo ni something else, tujifunze to appreciate the little ili tuje kupatiwa the abundance!. Mimi naendesha Vox Pop, appreciate the Vox Pop wakati ukisubira mdahalo.mi nataka uendeshe mdahalo wa wazi uhusishe akina Lissu, Kinana, Mnyika, Nchimbi n.k ambao wanaweza kushindana kwa hoja
Mkuu serious hawa ni wapinzani? umewahi kuwasikia CCM hata siku moja wanawasema kama CHADEMA? tuache utani basi mkuuSii kweli!.
Hawa ni makada wa CCM?.
View: https://youtu.be/RPpcwlnNJ0A?si=q0K9ApWRMuLw0SDK
View: https://youtu.be/U2sP1sh3Si8?si=MFmfQQMtRJSDLp0I
View: https://youtu.be/4xNWWz3kNLg?si=vRsyi06aJqsDeDli
View: https://youtu.be/YLjwcGPwzO8?si=UScVaBu_Bm3NcdIl
View: https://youtu.be/cHxuVN8njWM?si=m_TnqUx8ZAAXPhO3Naweza kuendelea hadi 100!.
Kuna miss conception upinzani Tanzania ni Chadema tuu, bila Chadema, waliobaki wote ni CCMB!, this is wrong!.
P
Huwezi kuendesha ukiwa CHANNEL 10Huu ni ushauri mzuri, utafanyiwa kazi, but this something else, kipindi changu ni Vox pop, mdahalo ni something else, tujifunze to appreciate the little ili tuje kupatiwa the abundance!. Mimi naendesha Vox Pop, appreciate the Vox Pop wakati ukisubira mdahalo.
P
Mimi naendesha vipindi, TBC, ITV, Azam TV, Clouds TV, ZBC, Star TV, TVE, na Wasafi, hivyo mdahalo huo unaweza kuendeshewa TV yoyote sio lazima Channel Ten. Kipindi cha TV, Kutoa Elimu ya Katiba, Sheria na Haki, Kuanza Jumapili Hii Kupita Channel TenHuwezi kuendesha ukiwa CHANNEL 10
Nashauri huo mdahalo ili uwe huru zaidi wachokoza mada wawe Dotto Buledu au Chief Odemba(Star TV) ni watu ambao hawana uchawa wala uoga wowoteMimi naendesha vipindi, TBC, ITV, Azam TV, Clouds TV, ZBC, Star TV, TVE, na Wasafi, hivyo mdahalo huo unaweza kuendeshewa TV yoyote sio lazima Channel Ten.
P