KMT kinaendeshwa kwa mtindo wa Vox Pop, kwa imani kuwa Vox Populi is Vox Dei!, kauli ya wengi ni kauli ya Mungu na Kauli huumba, kipindi kinatoa fursa ya ku consolidates kupaza sauti ya wengi kuhusu jambo lolote la kisiasa, kiuchumi na kijamii kuhusu taifa letu, ili suati hizo, ziliumbe hilo jambo.
Kwa vile kauli ya wengi ni kauli ya Mungu, natoa wito kwa viongozi wetu, sikilizeni sauti hizi za wengi, wanataka nini, wengi wape!, kwa vile sauti za wengi ni sauti ya Mungu, nawasihi sana viongozi wetu wasikilizeni watu, watu wengi wakisema wanataka nini, ni Mungu amesema!, wasiposikilizwa, ni Mungu hakusikilizwa!, hivyo ikitokea wasiposikilizwa, what will happen msije kutulilia humu kuwa huwakujua!...
Mwenye Masikio na Asikie!
Jumatatu Njema.
Paskali