Kobe Bryant dies in a plane crash

Kobe Bryant dies in a plane crash

The Sikorsky S-76 helicopter....
Imetengenezwa wapi?

20200126_232923.jpg
 
Jamani, bora mke na watoto weren't on board. RIP
==
Edit:
Kobe's daughter Gianna Maria was also on board and died in the crash.
 
Kifo bhana, yaani jana jioni nilikuwa na bro tukaachana kila mmoja arudi kwake eti leo asubuhi naambiwa kaka yako amefariki usiku, amegongwa na gari daaaah yani hapa hata siamini kama jioni ya leo tumemzika.
Naona maluweluwe tu...
R.I.P Bro
R.I.P Kobe

Sent using mazonge yamezidi
Pole ndugu yangu

Nilipoteza kaka mwezi December i can feel your pain

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Pole sana Hommie kifo cha kustukiza kinauma sana.

Back
Top Bottom