Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Pole sana.Nimelia Jamani. Imeniuma sana. Hapa ndo unasema maisha haya. Kobe alikuwa mtu poa sana.
Daaah. Ni kweli jamaa kavuta.
![]()
Kobe Bryant, 41, dies in helicopter crash in Calabasas, California
The 41-year-old NBA icon played for the Los Angeles Lakers. 9 people died in the accident, and the cause of the crash is still under investigation.www.google.com
R.I.PView attachment 1336251
Pole sana mrangi akuye atuambie kobe anamfahamu vipiNimelia Jamani. Imeniuma sana. Hapa ndo unasema maisha haya. Kobe alikuwa mtu poa sana.
Pole ndugu yanguKifo bhana, yaani jana jioni nilikuwa na bro tukaachana kila mmoja arudi kwake eti leo asubuhi naambiwa kaka yako amefariki usiku, amegongwa na gari daaaah yani hapa hata siamini kama jioni ya leo tumemzika.
Naona maluweluwe tu...
R.I.P Bro
R.I.P Kobe
Sent using mazonge yamezidi
Jamani, bora mke na watoto weren't on board. RIP
Kifo bhana, yaani jana jioni nilikuwa na bro tukaachana kila mmoja arudi kwake eti leo asubuhi naambiwa kaka yako amefariki usiku, amegongwa na gari daaaah yani hapa hata siamini kama jioni ya leo tumemzika.
Naona maluweluwe tu...
R.I.P Bro
R.I.P Kobe
Sent using mazonge yamezidi
Kifo bhana, yaani jana jioni nilikuwa na bro tukaachana kila mmoja arudi kwake eti leo asubuhi naambiwa kaka yako amefariki usiku, amegongwa na gari daaaah yani hapa hata siamini kama jioni ya leo tumemzika.
Naona maluweluwe tu...
R.I.P Bro
R.I.P Kobe
Sent using mazonge yamezidi