Koboko aka Black Mamba

Linatisha hili dubwana, afu ni mkubwa kweli.
Kumbe tz yapo haya madude.

Najaribu kufikiria wamemuuaje huyu deadly snake mkubwa kiasi hiki maana hata mtu mwenye skills kwa mazingira na ukubwa wake huyu kiumbe nadhani angemtoa jasho.
 
Yule mwamba wa snake in the city huwa anawakamata kilaini kabisa. Katika maisha yangu ya utoto ya kwenda vichakani na kupanda mikorosho nilishawahi kukutana na green mamba mwenye ukubwa unaolingana na huu.


Kwa akili za wabongo huyu nyoka amepondwa sana na mawe na magongo
 
Siku moja tulikuwa site maporini huko tunafanya survey, ghafla tukakutana naye

Bahati nzuri tulikuwa na Wazee Fulani wa Kimila, walitema mate Chini ghafla yule Koboko akageuza njia haraka kutupisha na kutokomea maporini zaidi 🙌
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…