Koboko (Black Mamba) - Nyoka hatari zaidi duniani

Nguchiro na honey badger ni tofauti, honey badger ndio nyegere
 
Huyu koboko unaambiwa hakuna wakumgusa kwa mbio hata husein bolt akasome
 
Nimepitia comments zote sasa niachen nilale yangu kesho, nipo city centre free from koboko pumbavu sana uyu nyoka[emoji3] [emoji3] [emoji119] [emoji119] [emoji119]
 
Koboko wanapogombana na mmoja akazima,aliebaki uwa kuna majani anaenda anayatafuna na kuja kumwekea mwenzie aliezima ili aamke waendelee na mtanange...sema anapoenda kuyafata hayo majani huwa makini asionekane na mtu,kwasababu nasikia ni dawa pia kwa binadamu akiumwa na koboko.
Koboko sio mgomvi kiivo sana labda awe kajeruhiwa.nimefanya kazi chunya kipindi fulani huko nyuma,getini kuingilia ofisini kwa pembeni kuna kichuguu anaishi,mkubwa kabisa.saa 5 hivi anatoka kwenda kula kaya na kabda jua alijazama anarudi jicho nyanya.Sema usikae kwenye njia yake kwasababu habadili njia.
Koboko ni mtemi sana,ukikutana nae akasimama tulia tuli,huku ukiomba sala zako...atakutizama wee baadae akikuona we boya tu anashuka chini anasepa sema inataka moyo macho yake kama yanawaka moto kumtizama hasa akitoka kula jani pendwa.
 
Kuna Nyoka wa aina nyingi sana,kuna wengine wanang'ata bila kudunga sumu,kuna wenye mild venom,kuna dry bite, na kuna wengine sumu yao ni inaitwa two steps to death..guess what huyo ndio Koboko.
Asante kwa ufafanuzi
 
OK safi
 
Duh,
Hapo ndo kila MTU alibak mdomo wazi.

Afu cha kushangza pale kitandan

alilala jamaa, mkewe na mtoto wao mchanga wa mwaka 1.

Ila ajabu ni kua mama&mtoto wake waliamka salama salmini.
Vingine ushirikina
 
Na kweli kifutu mvivu unaweza ukamsogeza kwa mguu hahahaha
Kifutu hashambulii binadamu hadi umkanyage kwa bahati mbaya. Tena akikuona unamkaribia anafoka kukupa tahadhari tu.

Ila ukigongwa na kifutu hata ukipona usife basi kuna uwezekano mkubwa ukalemaa kabisa mguu wako.

Wachache sana waling'twa na kifutu wakapona na kukosa ulemavu.
 
Wewe haupo sahihi kuhusu kumchezea nyuma kifutu.

Ukimgusa tu mkiani au popote anageuka kwa kujirusha na kungata kwa kasi ya hatari kiasi kwamba huwezi kumkwepa.

Ni kweli hachokozi na kung'ata bila kuguswa.
 
Ni kweli,ila unaweza kutoa taarifa wakaja wakamtibua
na wasifanikiwe kumuua ikawa balaa kijijini.

na je ina maana ana ugumu wa aina gan kias ata akanyagwe na gar hafi ???? na nilickia pia wanamhusisha na nguvu za giza.....kiumbe wa ajabu je ni kwel??
 

anakula bangi au[emoji4] [emoji4] [emoji23] [emoji23] [emoji23] kumbe koboko ndugu yetu
 
mmmh kwel bolt mita mia kwa sekunde kadhaa uyu hakamat
Hivi kwani hizo mita mia anazotumia si ndio max speed kumbuka yeye anatumia misuli na oxygen hivyo kama ni max speed tegemea itapungua tuu ni tofauti na chombo cha moto, ata kama anatumia sec kadhaa je anauwezo wa kumantain speed hiyo hiyo kwa mita ata 500 kama itatokea amekimbizwa na nyoka?

Yale ni mashindano mi siamini kama binadamu anaweza maintain maximum speed yake kwa umbali wa zaidi ya mita 100 hapo ni lazima agongwe tuu
 
Naona kwa mwezi huwezi kamata Cobra aliyeshiba I mean lile kubwa
Hapo naona utaishia jamii ya nyoka tu hahaha just kidding
Haha acha kabisa uyo mdudu ata tukiua nikimshika na mjiti huwa bado nasisimka kwa ile ngozi yake ilivyo siwezi
 
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] green mamba
 

bc sawa najua kama nina pkpk hanipati
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…