T11
JF-Expert Member
- Oct 11, 2017
- 5,101
- 4,560
Nguchiro na honey badger ni tofauti, honey badger ndio nyegereNakumbuka na mimi niliona kipindi kinacho fanana na hicho ulichoona wewe battle ilikuwa ya haja!! Utofauti ni kuwa Mamba alikang'ata mara nyingi nyingi sana.
Kutokana na Majeraha Mamba alikufa ila alishakaingizia sumu ya kutosha kalizima kwa muda halafu kikaamka tena kikamla Mamba kiroho safi kabisa.
Hivi kuna tofauti kati ya nguchiro na Nyegele? (Honey badger) Kwa sababu ile niliyoona mimi ilikuwa Mamba vs Honey badger.