Koboko (Black Mamba) - Nyoka hatari zaidi duniani

Kuna jamaa kamuua kwa kumkata kichwa koboko mdogo cha ajabu kile kichwa kilimgata kwenye soli ya kiatu,jamaa alikuwa na bahati kama angekuwa peku ingekuwa ni kifo tu.
 
Sasa kwani si venom inatendenezwa na cell maalum ambazo zipo sehemu maalum ikitoka ikienda kwingine lazima iwe na effect .. Ni sawa na HCL acid ya tumboni ukiiweka mdomoni lazima ikuharibu
Unaambiwa King cobra yuko immuned na venom ya cobra hata yake mwenyewe ila kwenye venom yake mwenyewe inamuozesha tissue tu,kwa hiyo neurotoxins ndani ya sumu yake haina madhara kwake.
 
Unaambiwa King cobra yuko immuned na venom ya cobra hata yake mwenyewe ila kwenye venom yake mwenyewe inamuozesha tissue tu,kwa hiyo neurotoxins ndani ya sumu yake haina madhara kwake.
ndugu koboko mkomavu,endelea kutupa updates za koboko wenzio
 
Tena meno yao ni mengi halafu marefu kibaya zaidi yameangalia ndani ina maana huyu nyoka akikung'ata no chance lazima uingie mdomoni.
Zamani niliposikia habari zake sikusikia kuhusu meno
Kwahiyo ile zana ya kusema chatu akikudaka jitanue sijui mchane, lazima ujeruhiwe
 
Zamani niliposikia habari zake sikusikia kuhusu meno
Kwahiyo ile zana ya kusema chatu akikudaka jitanue sijui mchane, lazima ujeruhiwe
Mkuu angalia picha hii huyu jamaa amang'atwa na chatu mdogo wa kufugwa sasa kama angekuwa mkubwa ingelikuwa ni hatari sana
 
Ukiachana na yote huyo mdudu ana tabia ya kulipa kisasi.

Mfano mmemshambulia akasepa, jua anawaweka kiporo siku mkipata maneno yake ya kujidai hata kama hamna niaje nae mtapewa chai.
 
Mkuu kuna kifaa kinaitwa Inland TAIPAN ni moto wa kuotea mbali..koboko anasubiri. Alhamdllah huyu nyoka huwa haonekani sana na ni nadra sana kukutana nae na ukikutana nae basi huchukui SEKUNDE 30. The fast moving with extreamly deadliest venom.

Kwa huyu koboko ni mchumba
 
fungua mkuu
 
Honey badger akikutana nakoboko aliekomaa panakua hapotoshi anaweza kumwua ila nayey hachukuia round
Honey badger hakuna sumu ya nyoka inayomuua...atapooza kwa muda then atazinduka na kuendelea na mishe zake. Wazungu walipmfanyia uchunguzi waligundua kuwa Honey badger ana uwezo wa kuzalisha seli za kumkinga dhidi ya sumu usio wa kawaida.
 
Duuh ..hatar sana
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…