Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Showoffkujishaua ndio nini mazee??
Mbona mfupiView attachment 782667
Koboko mwenyewe mdoogo lakini kwa kujishaua,piga mikwara bila sababu.
Kitu chenyewe kinatisha kinomaView attachment 782848
Koboko akikasirika huwa anapanua shingo yake kama Cobra,ila Koboko yeye huwa ni dishi dogo.
Atakuwa bado kinder.Mbona mfupi
Unaambiwa King cobra yuko immuned na venom ya cobra hata yake mwenyewe ila kwenye venom yake mwenyewe inamuozesha tissue tu,kwa hiyo neurotoxins ndani ya sumu yake haina madhara kwake.Sasa kwani si venom inatendenezwa na cell maalum ambazo zipo sehemu maalum ikitoka ikienda kwingine lazima iwe na effect .. Ni sawa na HCL acid ya tumboni ukiiweka mdomoni lazima ikuharibu
ndugu koboko mkomavu,endelea kutupa updates za koboko wenzioUnaambiwa King cobra yuko immuned na venom ya cobra hata yake mwenyewe ila kwenye venom yake mwenyewe inamuozesha tissue tu,kwa hiyo neurotoxins ndani ya sumu yake haina madhara kwake.
Koboko wenzangu hahahandugu koboko mkomavu,endelea kutupa updates za koboko wenzio
Zamani niliposikia habari zake sikusikia kuhusu menoTena meno yao ni mengi halafu marefu kibaya zaidi yameangalia ndani ina maana huyu nyoka akikung'ata no chance lazima uingie mdomoni.
Mkuu angalia picha hii huyu jamaa amang'atwa na chatu mdogo wa kufugwa sasa kama angekuwa mkubwa ingelikuwa ni hatari sanaZamani niliposikia habari zake sikusikia kuhusu meno
Kwahiyo ile zana ya kusema chatu akikudaka jitanue sijui mchane, lazima ujeruhiwe
Mkuu kuna kifaa kinaitwa Inland TAIPAN ni moto wa kuotea mbali..koboko anasubiri. Alhamdllah huyu nyoka huwa haonekani sana na ni nadra sana kukutana nae na ukikutana nae basi huchukui SEKUNDE 30. The fast moving with extreamly deadliest venom.Kuna sehemu nipo huku mkoani Tabora sehemu nilikuwa nimekaa nikasikia watu wakimsimulia nyoka aina ya koboko ambaye inasemekana anapatikana Tabora ,Shinyanga,Singida na Kigoma.
Kuna mtu mmoja katika mazungumzo yake alikuwa akisema ni bora ukutane na simba au chui unaweza ukapona kuliko koboko. Nilipojaribu kumuuliza alisema hayupo tayari kumuongelea kiundani wala kumtaja kwasababu ukiwa ndani ya mkoa wa Tabora au Shinyanga ni marufuku kumtaja huyu nyoka jinsi alivyoniambia.
Sasa kwa wale wanaomfahamu hebu tuelezeeeni kwanini koboko anaogopeka kuliko simba au chui?
-----
Pia soma...
Ka chatu kadogo labda lakini chatu mkubwa akishajiviringisha no chance hata kama una silaha.chatu akikudaka jitanue sijui mchane
Post yako hii inarudisha NGUVU YA KIUME!Ila Koboko mwenye hasira akikubananiza, ukimuimbia ule wimbo Sina makosa wa Les Wanyika anakuacha.
HahahaaPost yako hii inarudisha NGUVU YA KIUME!
huyo mtaalam... huwa hafanyi makosa akiwa kazini, kipind cha zaman kidogo.... wazungu walienda tabora... wakasikia habari ya kiumbe huyu( kama ilivyo marufuku kumtaja jina)... wakabisha sana juu ya habar zake... maana wao walikuwa wanaamin hakuna kama cobra..
shauku ilivyowajaa... wakatoa dau zuuri... kwa kijana atakayemkamata 'mtaalam' na kuwaletea..... ghafla akajitokeza masai mmoja kwa kujiamin.. kuwa wampe siku tatu... atakuwa ameshamkamata....
masai akazama vichakani.... katika kupitapita... akamkuta mtaalam anakula asali..... masai akamvalisha gunia mtaalam pamoja na mzinga wa asalii.....
aisee... itaendelea... nisije nikafungua uzi ndan ya uzi....
Tupiamo vipicha ili watu tumjue naona watu wanachanganya black mamba na koboko
ambie amuombe radhi koboko 😀😀😀Mkuu usirudie kufananisha koboko na nyoko wazembe wazembe
Honey badger hakuna sumu ya nyoka inayomuua...atapooza kwa muda then atazinduka na kuendelea na mishe zake. Wazungu walipmfanyia uchunguzi waligundua kuwa Honey badger ana uwezo wa kuzalisha seli za kumkinga dhidi ya sumu usio wa kawaida.Honey badger akikutana nakoboko aliekomaa panakua hapotoshi anaweza kumwua ila nayey hachukuia round
Duuh ..hatar sanaUkiwa unamsogelea anatoa sauti ya kukuonya siyo kwamba anakua kajikausha kua anakuogopa.
Isipokua sauti hua anaitoa kwa chini mno na kwa vile mara nyingi kukutana naye ni porini unaweza kuhisi ni majani ndiyo yanatoa mlio.
Na puff ader ndiyo death adder, mnyama kukabidhiwa jina hilo siyo shughuli ndogo.