Black Sniper
JF-Expert Member
- Dec 10, 2013
- 32,406
- 55,148
Dawa yake ni mnyama anayeitwa nyegere aka mongoose. Nyegere ameumbwa katika hali ambayo sumu ya nyoka huwa haiwezi kumdhuru/kumuua.Ndani ya mdomo wa Koboko aka blackmambaView attachment 2498581
honey badger ni kiumbe wa wa hovyo dunia 😂😂😂 jamaa anakichwa kibovu sanaHuyu mchumba tu kwa Nyegere a.k.a honey badger
Hatari sana..Chums kingine hiki hapa Kifutu aka Puff adderView attachment 2498594View attachment 2498595
Huwa mnatia chumvi sana!Huyu ni moja kati ya nyoka hatari zaidi duniani, pia ameusika kwenye vifo vingi vinavyohusishwa na nyoka. Kwa jina la kimombo ni "black mamba" sumu yake inashambulia mfumo wa Neva uchukuwa takribani dakika 10 kumuua binadamu. Huyu nyoka anaweza kufikia urefu wa mita 3 Yani futi 9 na inch 10. Ana uwezo wa kurudia kung'ata zaidi ya mara moja. Kwa hapa Tanzania wanapatikana sana mkoa wa Tabora na mikoa mengine yenye Hali ya joto joto. Anaweza kuwa na rangi ya brown na grey, jina la black mamba ni kutokana na ndani ya mdomo wake kuwa na rangi nyeusi. Hatari sana huyu nyoka ukimuona pita mbali sana usijaribu kupambana nae Wala usitumie fimbo kabisa..!!
Yule jamaa ni mtaalam wa nyoka ndio kazi yake, kama unaona sio hatari jaribu wewe kumkamata. Najua Hiko kipindi kipo NatGeo Wild ni jamaa wa South Africa sikiliza maelezo yake vizuri kama yanatofautiana.Huwa mnatia chumvi sana!
Kuna yule jamaa kwenye kipindi cha snake in the city kwenye chanel ya wanyama huwa anawakamata kwa mkono tu
Ni kweli ni kiumbe hatari lkin yeye mwenyewe akikuona huwa anajificha ili kuokoa uhai wake
Sema yeye wakati anaandika, hakudhani kuwa wewe utasoma.Umekurupuka sana, hamna koma wala nukta, pia nilitaraji kukutana na melezo mapya kumuhusu huyu kiumbe, ila ninayo yajua ni mengi kuliko niliyo yakuta humu
Kiss of death!!!Ndani ya mdomo wa Koboko aka blackmambaView attachment 2498581
Sahihi! Sasa mleta uzi hana detail nyingi kuliko wachangiajiNi kutokana na ndani ya mdomo wake kuwa na rangi nyeusi na sio rangi ya ngozi yake hapa watu wengi huchanganyaView attachment 2498599
Hadithiwa hivyo hivyo mkuu usiombe hata akutane na ndugu yako maana itakugharimu mazishi yake.Huwa mnatia chumvi sana!
Kuna yule jamaa kwenye kipindi cha snake in the city kwenye chanel ya wanyama huwa anawakamata kwa mkono tu
Ni kweli ni kiumbe hatari lkin yeye mwenyewe akikuona huwa anajificha ili kuokoa uhai wake
Kuna nyuzi zaidi ya kumi humu ndani kuhusiana na hichi chuma, zina detail nyingi sana, hivyo kuona hii nikafikiri anaeza kua na kigeni, kumbe pumba tupu hata kupangilia story line hola, maandishi hola! Huyu kiumbe anaweza kua na maajabu mengi tusio fahamu hivyo unapokuja na uzi kama huu lazima tuvamie sasa unapo kuja kutulisha ma pushabu badala ya shada unakua huelewekiSema yeye wakati anaandika, hakudhani kuwa wewe utasoma.
Ila siyo kila unachokijua sote tunakijua, hivyo acha waendelee kuandika tu, kwa faida ya wengine.
Unavijiwe vingi mkuu, kipi!!?Siludi tena kwenye hii thread tukutane kijiweni tena kesho mchana kwaheli 🫡🫡🫡
Ili kulinda umaana wako, uliposoma ukaona hana mpangilio wa uandishi, tena kaandika pumba.Kuna nyuzi zaidi ya kumi humu ndani kuhusiana na hichi chuma, zina detail nyingi sana, hivyo kuona hii nikafikiri anaeza kua na kigeni, kumbe pumba tupu hata kupangilia story line hola, maandishi hola! Huyu kiumbe anaweza kua na maajabu mengi tusio fahamu hivyo unapokuja na uzi kama huu lazima tuvamie sasa unapo kuja kutulisha ma pushabu badala ya shada unakua hueleweki
Meengi yamesha andikwa humu humu, fuatilia tuIli kulinda umaana wako, uliposoma ukaona hana mpangilio wa uandishi, tena kaandika pumba.
Mbaya zaidi hizi pumba zimeandikwa zaidi ya mara kumi, Ungepita kimya tu.
Kama unadhani huyu nyoka, ana vitu zaidi ya haya yaayoandikwa, humu ni vizuri wewe ukayatafute utulee mkuu, sisi tutajifunza.