Black Sniper
JF-Expert Member
- Dec 10, 2013
- 32,406
- 55,148
Hivi kile kikosi kazi kilienda Urambo kuuwa hawa nyoka sijui waliuwa wangapi maana hawa viumbe ni habari nyingine.
Ila kuna huyu ndege anaitwa Secretary bird ni balaa anapiga karate vibaya yaani round ya kwanza tu Black Mamba anasalimu amri
Pamoja na kusimulia kwa mtiririko unaofaa, lakini wajua kuwa umeharibu sana!!!
1. Unajua kweli maana ya "KITOWEO"
2. Unaposema "kwa kiingereza anaitwa black mamba" sisi kwa kiswahili tunamwita "koboko" sasa imekuaje umeandika nnsha yako kwa kiswahili na umelionea aibu jina "KOBOKO"?
Mwisho nikuulize huyu ndiye hugonga kichwani pekee? Kama siye basi hujamsimulia aliye hatari kuwazidi wote.
Je paka hawezi kumuua black mamba maana paka nae ni atari sana kwenye masuala ya kuua nyokaKwa Tanzania nyoka huyu hupatikana mikoa ya Dodoma,Tabora, na Shinyanga.This snake is a bad news....Deadly
Yaani kila kitu Mungu katupa, mwangalie you tube akimcharaza nyokaDuh kweli kila mbabe na mbabe wake sikuwahi kumjua huyu ndege
Kuhusu paka bado sina taarifaJe paka hawezi kumuua black mamba maana paka nae ni atari sana kwenye masuala ya kuua nyoka
Ni kweli mkuuDuh kweli kila mbabe na mbabe wake sikuwahi kumjua huyu ndege
Mkuu paka ni atari sana kwenye masuala ya nyoka mi black mamba namuitaga nyoka kichaaKuhusu paka bado sina taarifa
Uyoo nyoka na mfahamu vizuri sana nihatari kuliko ulivyoeleza niliwai kumkanyaga mkia na gari aliikimbiza gari uku anaigonga kwenye bord nilipata mawazo kama ninge kuwa kwa miguu ingekuwaje uyo mdudu ni hatari mno
Muongo..... Hukushuhudia ulisikia tuu maana hukuwa eneo la tukio wakati nyoka anafsnya yakeHakuna nyoka namwogopa kama black mamba ... Niliwahi shuhudia aking'ata daktari mmoja na kumuua chini ya nusu saa... Usiombe kukutana nae
Ahaa aahahaaaa hahahahaKuna nyoka wapo juu ya safu za milima ya Uluguru, akihema tu ni sumu, unakufa kwa kuvuta hewa yake,
Maeneo ya Tabora wako wengi sana pamoja na kondoaMmmmhhh aiseee hawa nyoka wanapatikana wapi hasa kwa hapa tz,makazi yao wanaopenda maana ni zaidi ya hatari,tiba ya haraka ya bite?
alafu hayo maeneo ndo walimu wengi wanapangiwa huko....loh kweli ualimu ni majangamkoa wa Katavi(Mpanda,inyonga)Tabora(Sikonge ni wengi sana hawa huko