Koboko (Black Mamba) - Nyoka hatari zaidi duniani

Si mchezo
 
Ila kuna documentary fulani ya nyoka hatari zaidi duniani niliiona NatGeo wazungu wawili wanamkanata huyu koboko.. Ilikuani ni mapori ya zambia
Nyoka yupo juu ya mti wamemshusha na wakamuingiza kwenye chombo kama kipipa hivi.. Walikua wanatumia fimbo flani maalum kumbebea
Nyoka ni mkali anafoka balaa na jamaa walikua care kinoma
 
Koboko ni hatari sana. Hana tabia ya kumkimbia mtu. Ukimuona kimbia, akikudokoa unadakika zisizozidi 30. Hapo kwenye simba na chui umetudanganya babu. Probability ya kusurvive ukikutana na koboko ni kubwa kuliko hao simba na chui.

[HASHTAG]#Silaha[/HASHTAG] namba 1 ya vita ni mbio!
 
Koboko nao huwa wanafanya makosa huyu koboko alitaka kumgonga utosini Nguchiro kwa bahati mbaya zake zikawa zimefika.
 
Koboko black mamba achana nae kabisa show zake siyo za kitoto ukikutana nae anza kutubu dhambi zako mana hujui ni mapigo gani atakayo kupiga.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…