Koboko (Black Mamba) - Nyoka hatari zaidi duniani

Nyoka wengi hua wana aibu na huwa wa kwanza kuretreat unless wawe cornered, koboko hajui kuretreat, ana accuracy, speed na bado yeye ndiyo ataanzisha ugomvi.

Iwe iwavyo ninachojua hachomoki mbele ya honey badger.
Hata tai anawala sana
 
Nilishuhudia msukuma 1 akilia kuliko msibani baada ya ng'ombe wake kama 50 wakidondoka, anatahamaki anamuona koboko kasimama halafu akasepa speed ya mwanga wa radi, ilikuwa ni maeneo ya wilaya urambo njia ya kwenda ulyankulu
 
Hahaha nyoka anasikia ila siyo kama sisi tunavyosikia isipokua yeye anasikia vibrations so akiona hizi vibrations ni za ule wimbo wake anakuachia
Mmmh ya kweli haya chief?
 
Mkuu kama unahamu ya kumuona njoo kagera...nipo sehemu moja pembeni ya ninapoishi kuna pori kubwa...huwa kila siku asubuh namsikia anawika kama jogoo...ukitaka kumuona njoo unitembelee mkuu...huwa naogopa kutoka nje usiku..kuna siku nishawah kutana naye
 
Mbona huyu nyoka anaonekana mzito....anaSpeed kweli ya kugonga!
Huyu tembea yake huwa kama kinyonga tatizo usije mkanyaga, ila niliwahi ona akitoka mbio kuliko koboko tulipokuwa tunachoma rundo la majani kumbe alikuwemo, alitoka speed kali utadhani msafara wa magu vijijini, halafu kinyonga nae huwa maringo nishakuta kinyonga akienda speed ya mjusi akikimbia moto uliokuwa unachoma msitu,
 
Kumbe koboko ndio huyo black mamba?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…