Koboko (Black Mamba) - Nyoka hatari zaidi duniani

Sijaangalia.

Lakini soon utanitajia na watu ambao miili yao ni venom resistant.

Ishu ni hivi...

Anaconda akiona majani yanacheza cheza ataretreat, same kwa common krait, cobra, copperhead etc. Black mamba akiona hivyo atabaki ajue kuna nini au atanyanyuka na kufuata huo uchezaji.
 
Huko Dubai kwenye mbio za Ngamia siku hizi wanapandisha wanasesere baada ya wale wapandaji waliokuwa wakiwachapa ngamia ili wakimbie kuviziwa na kupigwa na ngamia hao..
Kuna kitabu nilisoma ila sina kumbukumbu vzr ni kitabu gani kilikua kinamuelezea Ngamia kua ndio mnyama mwenye uwezo wa kutunza kumbukumbu muda mrefu kuliko mnyama yoyote.
 
Nilimsikia mkamata nyoka anasema Black Mamba kabla hajakung'ata anakupa tahadhari!! Sasa maelezo ya humu yako mchanganyiko sana.

Wengine wanasema Koboko ni mshari hata kama hujamchokoza atakufata akung'ate.
Mkuu achana na maneno ya hapa huyo nyoka akigundua ameonwa anatafuta upenyo anakimbia mapema,akibananishwa ndio anakuwa balaa.
 
Wanaosemaga kuwa koboko akikuona huwa anakimbia angalia hii video anavyo wapigia hesabu hawa mapark rangers,huyo aliyekuwa na kamera imebidi aache kurekodi baada Kiboko kuwachenjia kibao.
Huyu alikuwa na shida, ni kama amejeruhiwa hawezi kusogea au ameshiba sana (kuna kitu kikubwa amemeza muangalie vizuri) sio mnyama mzembe hivi.
 
Hawezi kuanzisha tu vurugu bila kuchokozwa, maneno ya vijiweni haya, kaangalieni Discovery Channel (136) Kuanzia saa moja na nusu usiku kila siku za wiki.
 
Huyu alikuwa na shida, ni kama amejeruhiwa hawezi kusogea au ameshiba sana (kuna kitu kikubwa amemeza muangalie vizuri) sio mnyama mzembe hivi.
Mkuu huyo black mamba hajajeruhiwa wala hajashiba ni umri ndio unampa kibri,dharau pamoja na kujiamini.
Hawa jamaa wakishafikia ukubwa km wa huyo unaemuona upole na uoga hua wanauweka pembeni, muda wote wenyewe wanakua wapo tyr kwa mapambano Yaani wanakua na over comfidence ya hatari, pia wanakua na ghadhabu sana tofauti kabisa na wanavyokua age ya kati.
Ukimuona black mamba anamkimbia binaadamu tambua tu kua huyo bado ule umri wake wa kuhitaji kuheshimiwa na kuogopwa haujafika.
 
Ooh nimekuelewa vizuri
Ila nyoka hana mbabe kwani anavamia bila hodi unless uwahi kumuona na kumshambulia
Lakini watu wengi ni waoga wa viumbe wakali na nyoka ni baadhi ya hao wabaya
Kweli kabisa, ukiwahi kumuona na kama huogopi viumbe wakali basi unaweza kumuua bila tatizo muhimu ni kujua kumuwahi tu ila akikuwahi imekula kwako
 
Naam! mzungu anakiri mwenyewe kuwa Koboko huyo alikuwa amekomaa.
Hapo ndio wananichanganya mara wanasema ni dkk 30 miguu imenyooka.
Halafu huyo aliyekuwa mwanafunzi wakati huo ilimchukua masaa mawili mpaka kufika hospital.
Cha kushangaza ameandika na barua kabisa huku akisema kulikuwa na needles yaani vichomi na maumivu ya ajabu
Bado endelea kuchimba
 
Hapana wala hagongi ovyo mpaka umchokoze mwenyewe au umukanyage, make ile sumu yake imetengenezwa kwa ajiri ya kutafutia chakula, to kill prey, hata pia anavyokugonga yani anaona hasara xana sumu yake ya kuulia wadudu anakuuwa weewe jitu zima
[emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1]
 
Wacha wapoteeeee tu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…