Wengine wanasemaga ubua wa mtama ukimgusa basi hana uwezo tenaKina mfipa 1 tabora anawaua sana na ni bwana mdogo tu, tulipokuwa wadogo niliwahi sikia story kuwa kama ukitaka muua nyoka mwanamke ashike matiti na mwanaume ashike magoti mwingine awe anampiga nyoka anakuwa hakimbii, anabiringita hapo hapo, niliwahi iona hii ukerewe nikiwa nalima na bibi na kweli nilimuua kifutu huku bibi akiwa ameshika matiti, huwa mpaka leo najiuliza wanaposhika hivyo kuna logic yoyote na inafanya kazi
Tafsiri ya neno Venom kiswahili1. Poisons work their deadly magic through touch, ingestion, or inhalation, hizi ni kama hizi sumu za panya ukila unakufa.
2. Venoms are injected directly into a wound. Hii inaingizwa direct kwenye mishipa ya damu au kidonda.
Kuna mtaalam anasema baadhi ya nyoka wana uwezo wa kung'ata na bila kutoa Venom wanaita "dry bite" na pia wanaweza kutoa sumu kidogo.Hapo ndio wananichanganya mara wanasema ni dkk 30 miguu imenyooka.
Anaconda ni mwenyeji wa Amerika ya kusini ila kuna kisa kimoja nataka nikiweke hapa.Anaconda
Anaconda ni mwenyeji wa Amerika ya kusini ila kuna kisa kimoja nataka nikiweke hapa.
Hapo nimeelewaKuna mtaalam anasema baadhi ya nyoka wana uwezo wa kung'ata na bila kutoa Venom wanaita "dry bite" na pia wanaweza kutoa sumu kidogo.
Mkuu hutaki vivutio vya wa talii[emoji23] [emoji23] [emoji23]Wacha wapoteeeee tu
Hapo nimeelewa
Inawezekana kabisa
Vipi kuhusu Tembo?Kuna kitabu nilisoma ila sina kumbukumbu vzr ni kitabu gani kilikua kinamuelezea Ngamia kua ndio mnyama mwenye uwezo wa kutunza kumbukumbu muda mrefu kuliko mnyama yoyote.
Mkuu,Sikumbuki km tembo alikua kwenye orodha ya ngapi, inawezekana ngamia akawa na kumbukumbu zaidi kuliko mimi maana sidhani km imefika hata 5yrs tokea nikisome lkn hata jina la kitabu nimelisahau.
Hapa wazungu watakupingaMkuu,
Tembo Wa Africa
(african elephant) ndio wenye kumbukumbu zaidi.
Nahsi anaweza kufuatia na dolphins.
Sina uhakika ila ntafatilia zaid
Ukiangalia vizuri hii picha utaona Tai amekula bite na alikufa.Hata tai anawala sana
Mkuu Tembo anakumbukumbu sana swali ni je Tembo anaweza kulipa kisasi au huwa mwepesi kusamehe.Vipi kuhusu Tembo?