Inside10
JF-Expert Member
- May 20, 2011
- 29,909
- 32,414
Nakwambia njoo Pm hutaki.
Asa mie nifanyeje?
Nina anza pata shaka
acha na huyo tupo tunamchunguza
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Nakwambia njoo Pm hutaki.
Asa mie nifanyeje?
Nina anza pata shaka
acha na huyo tupo tunamchunguza
hebu wataje wanaozurura humu jamvini ha ha ha ha ha ha ha ha ha
Mkuu Super H kumbe ba wewe unamjua huyu kima ee!?
Anakatiza mitaani km kibajaji.
Hawa ndio wa kuwapeleka huko porini km Chambo! Tena huyu mnyonga viuno safi sana. Baada ya kazi jioni mnamwambia Awachezee kadogoli kidogo. Anatikisa makalio Mnapata Burdani ya Buree na akitokea nyoka ghafla unamsukumia tu.
Hawana Faida hawa hata kidogo huku mjini. Bora hata ya wale mbuzi wa Vingunguti.
Ahsanta Mkuu.
Tuko pamoja.
Mmmhhhhhhh 1.5m kilo 3????? Huyo si atakuwa na Size ya Bi-ceps ya mtu mzima? Mbona alikuwa menene sana?
mmeshinda jamani maana huenda kuna wahasibu na ma engeneer sasa ni ngumu kuelewana.unaposema puff adder ni vipers ni sawa useme "mwanamke ni mwanaume".. ila kwakua hukubali basi endelea kujua unalofaham baba, lakini jifunze bado una mda.. naona daktari anaweza kukupa dozi na bado ukambishia ukataka dozi yako kaka.
Red Giant, (my two cents) asante kwa elimu ila naomba utofautishe mambo manne ya kuzingatia kuhusu kiumbe nyoka. Kuna tofauti kidogo kati ya;
- The most dangerous snake (wa hatari zaidi)
- The most feared snake (wa kuogopwa zaidi)
- The most deadly snake (anayeua zaidi)
- The most venomous snake (mwenye sumu kali zaidi)
Huyu hapa chini ndiye nyoka anayeongoza kwa kuwa na sumu kali zaidi duniani;
![]()
Aipysurus dubosii (Dubois' seasnake), its venom is enough to kill 49 men! They have medium aggressiveness and will only bite if provoked, but not spontaneously.
Halafu huyo nyoka anaonekana mtamu
Leo umeacha umachinga umeshaingia kwenye Usalama wa taifa!
Dah..
Hii sio mchezo.
Naomba jina la Padri aliyekuombea nimpe Matola. Manake yeye umemuacha bado anauza Leso pale uwanja wa karume we mwenzake uko MAKAO MAKUU YA USALAMA WA TAIFA.
Teh teh teh.
Mtoto nyodo zitakuponza.
UMENITISHA MKUU! na ninakubaliana na wewe mia mia. maana kwa mwonekano tuh.. anatishaHilo lilikuwa ni joka la kisra, majoka haya ya mibuyuni ni majoka ya karne,huwa mekundu kwa juu!yana sumu kali sana!ni kama mizimu
UMENITISHA MKUU! na ninakubaliana na wewe mia mia. maana kwa mwonekano tuh.. anatisha