Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
haha haa
umenikumbusha siku nilienda na beibe shamba kuna michungwa mingii...wakati yeye busy na watu wa shamba mie uhindi ukaniingia kuchkuch hotae mpaka kwenye miti nimchumie mpenzi, gafla mti wa jirani akadondoka nyoka akakimbia na mie mbio nalia kama mtoto mdogo
Pia haujatupa mbinu za kupambana na nyoka huyu au angalau kumuepuka.
Nyoka inasemekana huwa anapafu moja. So hiyo speed anaweza kwenda um bali gani
pori la wapi hilo mkuu?Hapo alikuwa amemeza digidigi wakampasua kumtoa.
Sio koboko hao,koboko furahi kumsoma hapa Jf usiombe kukutana nalo ilo dubwasha.Huku Ngara kuna kijiji ambacho jamaa wanawafuga na kucheza nao michezo mbalimbali hasa kwenye Sherehe za kuupokea Mwenge.
Asante kwa elimu nzuri ulete na elimu kuhusu chatu maana mie nimelikimbia shamba wiki iliyopita baada kukuta vijana wameua chatu shambani kwangu.[l/IMG]
Hahahahahaaa....mkapishana njia ....pole mi nsingepata muda wa kukimbia aisee ningezimia nadhani,
Na mbwembwe zake zote koboko hana ujanja kwa bundi. Ndiyo sababu usiku hatembei.
Na mbwembwe zake zote koboko hana ujanja kwa bundi. Ndiyo sababu usiku hatembei.
Huku Ngara kuna kijiji ambacho jamaa wanawafuga na kucheza nao michezo mbalimbali hasa kwenye Sherehe za kuupokea Mwenge.
Huku Ngara kuna kijiji ambacho jamaa wanawafuga na kucheza nao michezo mbalimbali hasa kwenye Sherehe za kuupokea Mwenge.